Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Ongea tu Kama huna meno kinywani vile....kwahiyo nchi imevamiwa na mtu ambae Hana masikilizano na jirani yake na ametengeneza makundi yake ulitaka Rais anyamaze tu?Mmh paka leo Cuba na urusi wanadai Tz kwajiri ya madeni ya vita ya Kagera, katika makosa makubwa mwl Nyerere alio fanya ni kuingiza Tz kwenye hiyo vita wakati kulikua na njia nyingi za kumaliza huo mzozo na Idi Amini, ila kwasbb alitaka kumsaidia pan Africanist rafiki yake Obote akaiingiza nchi katika matatizo makibwa,.....uchumi wa Uganda hauna uwezo wa kufidia Tz na pia hawakusain mkataba wa msada kwa malipo ya badaye.
Usirudie siku nyingine kusema upuuzi huo, nyumbani kwako pamevamiwa mkeo na wanao wanakula kichapo hadi kifo unaenda kufanya mazungumzo? Uko serious kweli wewe?