Akili sana hiianakula na kipofu
Kwa Sisi tuliosoma na kuishi Uganda tumesikitika Kwa haya kwasababu shule zao ni Duni kweli kweli lakini huku kwetu wanajenga nzuri kweli kweli hii ni nini?!!..Huyu M7 bado anataka uraisi wa Africa Mashariki au kuna Jambo zaidi?Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini ugandaView attachment 2027544View attachment 2027545View attachment 2027546View attachment 2027548View attachment 2027549View attachment 2027550
Nitamkimbiza na manati, sio kwa unyama ule aliowafanyia kina Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi Ssentamu aka Bobi WineAnatafuta pa kujificha siku kikibuma
Wema huanzia nyumbani kwakoKuongoza binadamu ni kazi sana, ukitenda mema watahoji ukitenda mabaya watahoji.
Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini ugandaView attachment 2027544View attachment 2027545View attachment 2027546View attachment 2027548View attachment 2027549View attachment 2027550
Unajifanya kujua diplomasia ila uelewa wako utakua duni sana, mahusiano ya Tz na Uganda sio ya kubembeleza kwa kujenga ka shule ka moja, hizi nchi ni jilani na wako vizuri sana kwa mda mrefu. Kwa akili za kawaida huwezi kulisha watoto wa jilani lishe nzuri wakati wako wana hali mbaya ya afya, na (utapilamulo) ni ujinga unafiki na ubinafsi. Mbona Rwanda Kenya Congo Sudani hawaja jenga mashule? unataka kuniambia hawajui diplomasia? Acha ujinga tumia akili yako kupambanua mambo mengine usikalilishwe Tz inejenga shule ngapi Uganda au Kenya?Upeo wako ni mdogo sana kwenye tasnia ya diplomasia mkuu ! si kwamba Watanzania hatuna uwezo wa kuijenga shule kama hiyo la-hasha bali ni kujenga undugu na kumbukumbu baina ya haya mataifa mawili katika nyanja zote iwe kiuchumi,kisiasa na kijamii ! That's just a gesture that we need to enhance our regional cooperation
Kuna ubaya gani kumsaidia jirani yako kile kidogo ulichonacho?Wema huanzia nyumbani kwako