Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

Ongea tu Kama huna meno kinywani vile....kwahiyo nchi imevamiwa na mtu ambae Hana masikilizano na jirani yake na ametengeneza makundi yake ulitaka Rais anyamaze tu?
Usirudie siku nyingine kusema upuuzi huo, nyumbani kwako pamevamiwa mkeo na wanao wanakula kichapo hadi kifo unaenda kufanya mazungumzo? Uko serious kweli wewe?
 
Yah katupa donation hata kwenye tetemeko la kagera alikuwa wa kwanza kupeleka msaada 🤣🤣
Mu7 hajawah kuishiwa vituko huuu urafik haulewek juz Kat rafik yake kafariki hata Hakuja kumzika best wako urafik wake unamashaka
 
Una ushahidi wowote kwamba tulivamiwa au, Tz ndo elikua inafanya madalizi ya kuvamia Uganda kwa kuhifadhi wa haasi wa Iddi Amini wakina Obote na Museven, na kumshawishi Nyerere awasaidie kumuondawa Amini, husifuata propaganda kasome vitabu, utagundua makosa yetu yalikua wapi.
 
Mu7 hajawah kuishiwa vituko huuu urafik haulewek juz Kat rafik yake kafariki hata Hakuja kumzika best wako urafik wake unamashaka
Hahaha mzee alikuwa anaogopa kufa kwa corona. M7 anapenda kuishi maana uraisi kwake burudani na hataki kufa kabla hajala pesa ya mafuta awe kama masheikh wa UAE
 
Kwani hayo magari wana nunulia nchi nyingine hao ni ya tz hapa hapa, hayo mambo mawili tofauti
At mama amesema na sisi tutawajengea wa UG skull moja Kama ishara ya upendo

Maana hata M7 na yy ametuomba tujenge soul pale UG
 
Viongozi wa Africa wanachekesha sana
 
Sisi na uchumi wetu wa kati, kuna mahali tumejenga au kufanya chochote katika nchi ya wengine? Kama ni kweli kinachosemwa kuhusu shule za Uganda, Museveni hajafanya poa kujengea shule Tanzania.
 
Sidhani kama shule hiyo imejengwa na Raisi Museven,bali ni pesa za Tanzania na kupewa jina la Museven
Kama nakuelewa vile. Usikute baada ya kelele dhidi ya Mwendazake kuwa kila kitu Chato ndo akaamua kujenga shule hiyo kwa kutumia jina la Museveni. INAWEZEKANA.
 
Anataka atuuzie sukari mkuu
 
Inabidi umsaidie jirani yako ukiwa na ziada, siyo kwako watoto wanalala njaa unasaidia ili uonekane unajali wakati njaa kali
Mkuu hata USA inatoa misaada in millions of $$ lakini bado ina watu homeless.
 
Inabidi umsaidie jirani yako ukiwa na ziada, siyo kwako watoto wanalala njaa unasaidia ili uonekane unajali wakati njaa kali
Sio kweli ! Nimeamua kugawana na jirani yangu kibaba cha unga nilicho nacho, nusu kwa nusu wanawe pia wasilale na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…