Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

Kweli kabisa hiyo kitu imeegemea kwenye diplomasia.Na diplomasia ni mchongo Sana kwa national intereste than one person intereste
 
Aliye nacho uzidishiwa ila asiyenacho hata kile kidogo alicho nacho uchukuliwa
 
Sijamlaumu Samia, nimelaumu mfumo uliomchagua mtu kama Samia, a lightweight schlepper, asiye na distinguished track record yeyote, tukamfanya Vice President, na hatimaye Rais. Tunavuna tulichopanda.

Na, uko sahihi, hatukutegemea JPM au binadamu yeyote asichague VP inferior to him, tatizo JPM amechagua mtu aliye kinyume nae, polar opposite wake, matokea yake sasa Samia anatukana kila kitu alichofanya JPM.

JPM alitaka tuanze kushindana na Kenya na Uganda, tuache kuwa masoko yao ya kudumu, akasema tembeeni kifua mbele... keep your head up. Samia anakuja anatukana mawaziri wanaojaribu kufuta trade imbalance. Tumerudi kutembea vichwa chini mbele ya Wakenya na Waganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…