Kwanini rais Mwinyi hakuwa na furaha wakati anawakabidhi zawadi simba?

Nilichokiona Azam walipokuwa wanavalishwa medali na rais wanaivua hapo hapo mbele yake kwa hasira
Sikuipenda ile adabu. Wangesubiri basi hata watoke maeneo hayo, ndipo wazivue!
 
Simba Tamu Kama Ndoa
Akinuna/Akicheka Simba Bingwa Mapinduzi Cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…