Rais analindwa 24/7- na Kuna mazingira yanatakiwa yawalidhishe Wanaomlinda ndo wampe rukhusa ya kukaa,Kula au kulala hapo. So Kama Nyumbani kwao bado Mazingira sio rafiki kiusalama itabidi kulala sehemu nyingine.Ndo maana kila Mkoa una Ikulu kuepusha hayaMh Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi kanishangaza baada ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini,, anatoka hotelini na msafara anaenda kwao, Je kwao haja jenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini kilo mita 7 kutoka kijijini kwao au ndo anatumia tozo zetu.
Watu wengine wanajitoa ufahamu tu, wanajua fika kuwa Rais haamui mwenyewe pa kukaa.Rais haamui yeye alale wapi?
Anaamuliwana Nani?Rais haamui yeye alale wapi?
Mh Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi kanishangaza baada ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini,, anatoka hotelini na msafara anaenda kwao, Je kwao haja jenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini kilo mita 7 kutoka kijijini kwao au ndo anatumia tozo zetu.
Kwa sababu hajajenga hekalu kama lile la Chato.Mh Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi kanishangaza baada ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini,, anatoka hotelini na msafara anaenda kwao, Je kwao haja jenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini kilo mita 7 kutoka kijijini kwao au ndo anatumia tozo zetu.
Mkuu yeye kalala hotelini tena karibu na kwao alipo zaliwa asubuhi anatoka hoteli anaenda nyumbani kwao hii imekaaje,, mbona Ma Raisi wote waliopita wakienda kwao wanafikia nyumbani kwao mfano Nyerere Butiama kwake kabisa na nyumba yake ilikuwa ya kawaida sana, Kikwete alikuwa akienda kijijini kwao Msoga alikuwa afikii hotelini anafikia kwake, Magufuli tulikuwa tunamuona Chato yupo kwake, nimeshangaa Mama yeye inamaana tokea awe mbunge mpaka makamu wa Raisi na sasa Raisi ina maana haja jenga nyumba nzuri ya yeye kufikia.?Rais analindwa 24/7- na Kuna mazingira yanatakiwa yawalidhishe Wanaomlinda ndo wampe rukhusa ya kukaa,Kula au kulala hapo. So Kama Nyumbani kwao bado Mazingira sio rafiki kiusalama itabidi kulala sehemu nyingine.Ndo maana kila Mkoa una Ikulu kuepusha haya
Mbona BWM alikua halali pale lupaso,alikua anaenda kulala mtwara mjini au dar? Ni maamuzi.Mkuu yeye kalala hotelini tena karibu na kwao alipo zaliwa asubuhi anatoka hoteli anaenda nyumbani kwao hii imekaaje,, mbona Ma Raisi wote waliopita wakienda kwao wanafikia nyumbani kwao mfano Nyerere Butiama kwake kabisa na nyumba yake ilikuwa ya kawaida sana, Kikwete alikuwa akienda kijijini kwao Msoga alikuwa afikii hotelini anafikia kwake, Magufuli tulikuwa tunamuona Chato yupo kwake, nimeshangaa Mama yeye inamaana tokea awe mbunge mpaka makamu wa Raisi na sasa Raisi ina maana haja jenga nyumba nzuri ya yeye kufikia.?
BWM alikuwa hapati Lupaso na alipachukia sana na akiwachukia watu wa Lupaso ndiyo akupenda kuishi Lupaso kutokana na sababu ya kihistoria ya wazazi wake walivyo fanyiwa.Mbona BWM alikua halali pale lupaso,alikua anaenda kulala mtwara mjini au dar? Ni maamuzi.