Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

Ukiwa Rais palepale unageuka mali ya umma.Halafu,kwa ujenzi wetu huu wa kiaina,ulinzi utakuwa mgumu kufanyika.Idadi ya watu anaoambatana nao ni wengi.Hiyo nyumba itamudu?Kuanzia vyumba,vitanda,sebule kubwa,maliwato na faragha za watakaowakuta.Mengine tuyavumilie tu.Ile ni taasisi.Sasa taasisi ikihamia kwako si itakuwa vurumai?
 
Mbona Kikwete, Nyerere , Magufuli walikuwa wanalala nyumbani kwao kijijini uko ?
 
Hayo ya nini mkuu!?

Hebu kazia hii Hapa;-

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba ukamilike"
 
BWM alikuwa hapati Lupaso na alipachukia sana na akiwachukia watu wa Lupaso ndiyo akupenda kuishi Lupaso kutokana na sababu ya kihistoria ya wazazi wake walivyo fanyiwa.
Sasa mgogoro wa wazaz wake yeye aliuingilia wa nini?kama walistahili kufanyiwa Hivo yeye kwanini ahukumu Wananchi waliompigia Kura?Shida watu wa kule pia hawataki kwao!
 
Mh Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi kanishangaza baada ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini,, anatoka hotelini na msafara anaenda kwao, Je kwao haja jenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini kilo mita 7 kutoka kijijini kwao au ndo anatumia tozo zetu.
Huenda sababu za kiusalama zinahitaji hilo anyway Kupanga ni kuchagua
 
Rais analindwa 24/7- na Kuna mazingira yanatakiwa yawalidhishe Wanaomlinda ndo wampe rukhusa ya kukaa,Kula au kulala hapo. So Kama Nyumbani kwao bado Mazingira sio rafiki kiusalama itabidi kulala sehemu nyingine.Ndo maana kila Mkoa una Ikulu kuepusha haya
Ana mwaka sasa ameshindwaje kuweka mazingira vizuri ya kwao ili kila akifika huko afikie?

Hizo gharama anazotumia mahotelini na timu yake na kwa thamani ya hotel za zanzibar kwa miaka mitano si anajenga ikulu ndogo hata tatu? Maana akifika anapishwa hotelini.

Je akiwa makamu wa rais alikuwa anafikia wapi? Yaani akienda ugenini nchi za nje afikie hotelini, akiwa home village pia afikie hotelini?
 
Back
Top Bottom