Kwanini Rais Samia akienda kijijni kwao anafikia hotelini?

Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.

Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Rais hawezi lala kwenye tembe. Yeye no taasisi. Ngoja wamjengee nyumba ndipo apate pa kufikia
 
"Hili nalo Mwanangu Nape na watu wako wa TCRA muende mkalitizame"
Nilikwisha kuagiza vyombo vya habari visiniparure bali vinipapase na kunikuna,Sasa watu watataka kujua mpaka hotelini nalala na Nani!
 
Katika nchi za kifisadi,hivi rais wa Zambia HHichirema anaweza kufanya upumbav km huo
 
Hivi raisi akilala hotelini analipia?
Kwanini asilipe? Lazima alipe maana ile biashara ila kwetu huku wafanyabiashara wanafanya kama fursa za kupata michango mingine.

Kuna kipindi cha Jk watu ikulu walikuwa wanafanya biashara yaani kuonana na mheshimiwa kulikuwa na price tag tofauti tofauti yaani ukitaka kupiga picha na raisi kulikuwa na bei yake,kuonana nae pia bei yake. 😂

Nimesema hivyo kutokana wafanyabiashara wa HOTEL wanapigana vikumbo kupata connections mheshimiwa akalale HOTEL yake.
 
Na lindi ana mjomba ake basi akiwa anaenda lindi akalale kwa mjombaye sio?
 
Akishakuwa Rais sio Mali yao ni Mali yetu na anatakiwa alale sehemu radar zinasoma. Usalama kwanza
 
Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.

Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Acha tozo zifanye kazi
 
Kwanini asilipe? Lazima alipe maana ile biashara ila kwetu huku wafanyabiashara wanafanya kama fursa za kupata michango mingine.

Kuna kipindi cha Jk watu ikulu walikuwa wanafanya biashara yaani kuonana na mheshimiwa kulikuwa na price tag tofauti tofauti yaani ukitaka kupiga picha na raisi kulikuwa na bei yake,kuonana nae pia bei yake. 😂

Nimesema hivyo kutokana wafanyabiashara wa HOTEL wanapigana vikumbo kupata connections mheshimiwa akalale HOTEL yake.
Aaah acha bana una uhakika na uyasemayo
 
Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.

Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Mkapa alikuwa haendi kwao kwa kuwa alikuwa hana nyumba.
 
J,una ubongo unaofanana na mitandao ya simu au mawimbi ya TV na radio. Mara ihame Mara inakaa sawa. KWASASA IMEHAMA
 
Rais analindwa 24/7- na Kuna mazingira yanatakiwa yawalidhishe Wanaomlinda ndo wampe rukhusa ya kukaa,Kula au kulala hapo. So Kama Nyumbani kwao bado Mazingira sio rafiki kiusalama itabidi kulala sehemu nyingine.Ndo maana kila Mkoa una Ikulu kuepusha haya
Kwao hakuna mkoa wenye ikulu?
 
Ukiwa Rais palepale unageuka mali ya umma.Halafu,kwa ujenzi wetu huu wa kiaina,ulinzi utakuwa mgumu kufanyika.Idadi ya watu anaoambatana nao ni wengi.Hiyo nyumba itamudu?Kuanzia vyumba,vitanda,sebule kubwa,maliwato na faragha za watakaowakuta.Mengine tuyavumilie tu.Ile ni taasisi.Sasa taasisi ikihamia kwako si itakuwa vurumai?
Duuh! Wala keki mmekosa mmekosa mpaka akili
 
Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.

Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Nyie ndio mnasababisha viongozi, na watumishi wengine wa umma kuwa wezi kwa ajili haya masimamgo.
 
BWM alikuwa hapati Lupaso na alipachukia sana na akiwachukia watu wa Lupaso ndiyo akupenda kuishi Lupaso kutokana na sababu ya kihistoria ya wazazi wake walivyo fanyiwa.
Mkuu wazazi wake walifanyiwa nini?
 
Back
Top Bottom