Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,527
- 5,616
Hiyo lami hata mwenyekiti wa kitongoji anaweza kuweka bwasheeLami kutoka masasi Hadi pale kwake.
Hiyo lami hata mwenyekiti wa kitongoji anaweza kuweka bwasheeLami kutoka masasi Hadi pale kwake.
Hiyo ya Mbweni ni nyumba yake mwenyewe personal house kama ile ya Msasani kwa Nyerere, Ursino kwa Jakaya, Upanga kwa Mkapa etc, serikali ina wajibu kumjengea Mama nyumba ya maana kijijini kwake!.Samia kajenga bara nyumba kali sana tu hapo Mbweni
Hivi Man bado tu una sugua benchi??Hiyo ya Mbweni ni nyumba yake mwenyewe personal house kama ile ya Msasani kwa Nyerere, Ursino kwa Jakaya, Upanga kwa Mkapa etc, serikali ina wajibu kumjengea Mama nyumba ya maana kijijini kwake!.
P
Sasa kwanini msijichange na mwenyekiti wenu mkamalizia pale iliposihia Hadi kule mission? Shida watu wa lupaso mnapenda kutafuniwa kila kitu.Hiyo lami hata mwenyekiti wa kitongoji anaweza kuweka bwashee
Mbona jpn walimuua hao hao wanaomlinda. Akawekea musu baadaye aliyemukewa naye wakaondoka naye baada ya kuwekewa hela akakubali kufanya yake naye wakafanya yao
Ukiwa Rais palepale unageuka mali ya umma.Halafu,kwa ujenzi wetu huu wa kiaina,ulinzi utakuwa mgumu kufanyika.Idadi ya watu anaoambatana nao ni wengi.Hiyo nyumba itamudu?Kuanzia vyumba,vitanda,sebule kubwa,maliwato na faragha za watakaowakuta.Mengine tuyavumilie tu.Ile ni taasisi.Sasa taasisi ikihamia kwako si itakuwa vurumai
ACHA apumzike, safari za nje zinachosha Sana, ila pia akiwa Tanganyika kwenye ziara anapata watu wengi na kusimama mda mrefu, mbona hamna huruma, lakini huwa Halali Sasa hamtaki apumzike🤣Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Tuta jenga ikulu ngapi..? Mm naona raisi yupo kazini hapaswi kulala kwao kisa tu kaenda kikazi karibu na kwao.Mkuu jaap, your concern ni very genuine, na hii ni plus plus kwa Rais Samia as An African Woman, Tanzanian Woman na a Zanzibari lady, wanawake huwa hawajengi kwao, angekuwa ni mwingine, baada tuu ya yeye kuwa Rais wa JMT, tungeshuhudia ujenzi wa Ikulu ya Kizimkazi fasta!.
Kwa vile mimi ni miongoni wa waelimishaji umma humu, kwa kuwafunza kuhusu Ikulu ya Chato Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! na ili kurahisisha usafiri wa Chato, mimi Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!, sasa maadam kijiji alichozaliwa rais wetu ni Kizimkazi, jee kuna ubaya wowote tuanze maandalizi ya uhamasishaji wa ujenzi wa Ikulu ndogo ya Kizimkazi?. Sio lazima ijengwe kwa fedha za serikali, bali hatua ya kwanza ni tubadili baadhi ya mila na desturi za kibaguzi za asili za mtoto wa kike akiolewa, atajenga kwa mumewe kule alikoolewa!. Sasa binti huyu wa Kizimkazi ndiye rais wa JMT, apewe nafasi Watanzania tumjengee ili eneo hilo liwe ni eneo muhimu la kihistoria kijiji alipozaliwa rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania. Rais wetu awe huru kwenda likizo ndefu Kizimkazi kama zile likizo za Chato.
Mnalionaje hili?.
Pĺ
Kila rais wa JMT anapaswa kujengewa kwao!. Tutajenga as many as marais wetu, wakifika 100, tunajenga hata zikifika 100!Tuta jenga ikulu ngapi..? Mm naona raisi yupo kazini hapaswi kulala kwao kisa tu kaenda kikazi karibu na kwao.
Sawa. Ila kwq mtazamo wangu wakiwa katika ziara za kikazi naona sio lazima walale kwao. Na raisi samia kaolewa hivyo naamini kajenga kwake na mumewe hilo sina wasi wasi nalo kwa saana. Maana tamaduni zetu tuna zijua mkuu. Na labda hajalala kwao kwa kuzingatia ukubwa wa matumizi na ratiba za kikazi maana msafara ni mrefu wote watalala kwao, waliopo kwenye msafara wake.Kila rais wa JMT anapaswa kujengewa kwao!. Tutajenga as many as marais wetu, wakifika 100, tunajenga hata zikifika 100!
P
Naunga mkono hoja zako zote, lakini hoja yangu bado inasimama, maadam rais wa sasa wa Tanzania alizaliwa Kizimkazi, then eneo hilo liwe elevated, wageni watakaokuja kutembelea historia ya Samia, hawatahitaji kuona kaolewa wapi!, au amejenga wapi?. The history ni mahali alipozaliwa, alipokulia, aliposomea na alipoanzia!. Kama ile Nyumba ya Nyerere Magomeni inatunzwa, itakuwa ni alipozaliwa Samia?!.Sawa. Ila kwq mtazamo wangu wakiwa katika ziara za kikazi naona sio lazima walale kwao. Na raisi samia kaolewa hivyo naamini kajenga kwake na mumewe hilo sina wasi wasi nalo kwa saana. Maana tamaduni zetu tuna zijua mkuu. Na labda hajalala kwao kwa kuzingatia ukubwa wa matumizi na ratiba za kikazi maana msafara ni mrefu wote watalala kwao, waliopo kwenye msafara wake.
ndio umeonaMimi sijawai kuona Raisi anaenda nyumbani kwao kwa wazazi wake kijijini lakini ikifika usiku anaenda kulala hotelini asubuhi anaenda kwao,
Hapo nimekuelewa. Ila.pia naamini kwao nyumba nzuri tu zipo kawajengea wazazi wqke kama wapo hai bado. Labda kama ipo sheria ya kuwajengea maraisi wetu makwao mansion kila mmoja kwa wakati wake. Mengine atapaboresha mwenyewe zaidi.Naunga mkono hoja zako zote, lakini hoja yangu bado inasimama, maadam rais wa sasa wa Tanzania alizaliwa Kizimkazi, then eneo hilo liwe elevated, wageni watakaokuja kutembelea historia ya Samia, hawatahitaji kuona kaolewa wapi!, au amejenga wapi?. The history ni mahali alipozaliwa, alipokulia, aliposomea na alipoanzia!. Kama ile Nyumba ya Nyerere Magomeni inatunzwa, itakuwa ni alipozaliwa Samia?!.
P
Hivi raisi akilala hotelini analipia?Pesa ipo TOZO kibao kwanini asilale 5 stars Hotel?
Napajua nimeishi miaka 7, Kama hujui Zanzibar huduma za kijamii zipo kila sehemu na huwezi kumuona mwanamke waki Zanzibar akibeba ndoo ya maji kichwani umbali wa mita 50 kutoka anapoishi, na Zahanati zipo karibu na usafiri siyo washida na wa Zanzibar hawana njaa sana, Ndiyo maana Mzanzibari anaweza kukupa nyumba ukae bure au ukiishiwa kodi anaweza akakuvumilia ata miezi 4 unakaa bila kukusumbua, Wao wa Zanzibar mali na utajiri siyo kipaumbele chao wanalizika na maisha ya kawaida tu" utakuta kiongozi mkubwa anaishi maisha ya kawaida sana.Unapajua huko lkn !!! ni mbali na mji, maendeleo bado sanaa.
Kwenye alama za Taifa Rais hayupo Bali Bendera ya Rais ndio ipo, pia alama za Taifa ni kujumuisha Fedha ya Tanzania,Mnyama Twiga, wimbo WA Taifa, Nembo ya Taifa na Bendera ya Taifa hiyo ni KWA mujibu wa Elimu ya UraiaRAIS Ni alama ya TAIFA, ZANZIBAR HAKUNA IKULU NDOGO ya RAIS was jamhuri ya muungano, HIVYO NI MUHIMU KUWA NA IKULU NDOGO KWA MAKAZI YA RAIS
Hizo ni kashifa kwetu watu wa kusini. Nyie mmejazana Dar lakini mbona hatuwasemi? Sisi tulioko huku Nkotokwiana vijijini unawezaje kusema hatupendi kwetu? Acha hizo.Sasa mgogoro wa wazaz wake yeye aliuingilia wa nini?kama walistahili kufanyiwa Hivo yeye kwanini ahukumu Wananchi waliompigia Kura?Shida watu wa kule pia hawataki kwao!
Its true, hata wale nanilii wao wa zile huduma hizi na zile, Wanzanzibari wenyewe halisi hawapangi bei ni wewe tuu mwenyewe kuwapa asante.Wao wa Zanzibar mali na utajiri siyo kipaumbele chao wanalizika na maisha ya kawaida tu" utakuta kiongozi mkubwa anaishi maisha ya kawaida sana.