Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi.
Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia.
Maridhiano ilikuwa ni moja ya slogan za rais Samia na ilimpandisha kisiasa lakini sasa inaonekana dosari kubwa imeingia na inaleta ukakasi hata kulitamka neno maridhiano hadharani.
Serikali imekosa uvumilivu kwa mawazo kinzani na tayari matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya wapinzani yameichafua nchi ndani na nje.