Tangu mwanzo ....kama kweli alikuwa nia thabiti basi hapo kati washauri wamemtisha sana .....sasa amebadilika sana sababu ana uchu madaraka....wamemtisha kuwa atakwenda na maji hana mizizi Tanganyika.....sasa anatumia nguvu kutawala.....4R wapi wrweee......hakuna kitu labda NGO sio TanganyikaRais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi.
Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia.
Maridhiano ilikuwa ni moja ya slogan za rais Samia na ilimpandisha kisiasa lakini sasa inaonekana dosari kubwa imeingia na inaleta ukakasi hata kulitamka neno maridhiano hadharani.
Serikali imekosa uvumilivu kwa mawazo kinzani na tayari matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya wapinzani yameichafua nchi ndani na nje ya nchi.
Wapinzani ndiyo walijawa na matumaini, wakazani sasa wanaweza chukua kiti cha urais kwa urahisi kutoka kwa mwanamke kisa tu alianza kutekeleza maagizo ya CDM, na CDM walivyokua wajinga wakaanza na dharau na kejeli kwa Amiri Jeshi Mkuu, sasa tulieni mnyolewe barabara!!Rais Samia aliporithi kiti cha urais watu wengi walijawa na matumini kuwa sasa demokrasia na uhuru wa kujieleza vingeongezeka na kusitawi.
Hivi karibuni matumaini hayo yamefifia na watu hawaoni tofauti kati ya awamu ya tano na ya sita katika masuala ya kidemokrasia.
Maridhiano ilikuwa ni moja ya slogan za rais Samia na ilimpandisha kisiasa lakini sasa inaonekana dosari kubwa imeingia na inaleta ukakasi hata kulitamka neno maridhiano hadharani.
Serikali imekosa uvumilivu kwa mawazo kinzani na tayari matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya wapinzani yameichafua nchi ndani na nje.
Yeyote anayeshabikia CCM lazima ni mjinga tu.Wapinzani ndiyo walijawa na matumaini, wakazani sasa wanaweza chukua kiti cha urais kwa urahisi kutoka kwa mwanamke kisa tu alianza kutekeleza maagizo ya CDM, na CDM walivyokua wajinga wakaanza na dharau na kejeli kwa Amiri Jeshi Mkuu, sasa tulieni mnyolewe barabara!!
Wwe mwenyewe umejua kusoma na kuandika kwa sababu ya CCM, sasa umeanza kejeli kisa ushajua kusoma na kuandika!!Yeyote anayeshabikia CCM lazima ni mjinga tu.
Sio kweli, ukiangalia zile 4R zilikuwa ni utapeli ili atawale bila pressure. Lakini kadiri muda unavyosogelea uchaguzi haoni kuungwa mkono, na hii kuuza na kukabidhi raslimali za nchi ndio alikoposhania na wapinzani, kwani walianza kutumia lugha kali dhidi yake, na yeye alitaka wake kimya kwakuwa aliwapa uhuru bandia.Wapinzani ndiyo walijawa na matumaini, wakazani sasa wanaweza chukua kiti cha urais kwa urahisi kutoka kwa mwanamke kisa tu alianza kutekeleza maagizo ya CDM, na CDM walivyokua wajinga 4wakaanza na dharau na kejeli kwa Amiri Jeshi Mkuu, sasa tulieni mnyolewe barabara!!