KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.