Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Kwasababu anajua hana zuri la kuweza kufanya asifiwe hivyo inabidi anunue sifa.
Sifa za kununua na za uongo ni bora kwake kuliko kukosolewa kwa ya kweli.
'Mama' ni mithili ya nyumba ya udongo iliyopigwa lipu na rangi za kuvutia. Kimuonekano wa nje ni nzuri ila haibadilishi uhalisia kuwa ni nyumba ya udongo.