KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
KAZI kwelikweliTatizo linaanzia pale chawa walipomiliki njia zake za kuingia na kutoka
Kikwete mbona aliweza kuwavumilia wakosoaji wake?Hakuna binadamu anayependa kukosolewa hakuna ,kama yupo mtaje ,ni unafiki tu .
Ushu ya kupenda sifa ni kitu kikubwa ana maana tumecopy kutoka kwa Mungu ,Mungu anapenda sifa sana na akatuumba kwa mfano wake
USSR
Labda binadam wa nchi zenye weatu weusi. Wenzetu wako free and open, na ukionyesha kutokupenda kukosolewa unaonekana wa ajabuHakuna binadamu anayependa kukosolewa hakuna ,kama yupo mtaje ,ni unafiki tu .
Ushu ya kupenda sifa ni kitu kikubwa ana maana tumecopy kutoka kwa Mungu ,Mungu anapenda sifa sana na akatuumba kwa mfano wake
USSR
Hao kina ulimboka ,vitoto vya jana hata Kikwete ulimouna wewe ,unajua ugomvi wake na lowasa ,unajua ugomvi wake na kagameKikwete mbona aliweza kuwavumilia wakosoaji wake?
Hizo ni tabia za viongozi wa Jinsia hiyo!Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Huyo Mkwere usione anacheka Cheka ni mkatili sana huyo !! Mikono yake imetapakaa damu ikiwemo ya mwandishi wa Habari Mwangosi aliyeamuru mapolisi wamuue Kule Iringa.Kikwete mbona aliweza kuwavumilia wakosoaji wake?
Ndio ameuotesha ,Saa100 kuanzia uwaziri,umakamu wa Rais hadi Rais.Huyo Mkwere usione anacheka Cheka ni mkatili sana huyo !! Mikono yake imetapakaa damu ikiwemo ya mwandishi wa Habari Mwangosi aliyeamuru mapolisi wamuue Kule Iringa.
Saa100 ni mke WA pili,wengi wamezoea hivyoSio samia tu magufuri pia alikuwa hvyo
Samia kaiga kwa Magufuri,
Magufuri yeye ni malezi mabaya aliyopitia akiwa mdogo hakuzoea kuambiwa kitu
Kukata moto ni kwa kila binadamu na mwenye Siri ya lini utakwenda mbele ya haki ni ALLAH peke yake!Ndio ameuotesha ,Saa100 kuanzia uwaziri,umakamu wa Rais hadi Rais.
Sijajua kwanini hakati moto
JK hapana! Akikata moto,na asirudi kabisa!Kukata moto ni kwa kila binadamu na mwenye Siri ya lini utakwenda mbele ya haki ni ALLAH peke yake!
Ukiona kiongozi siyo mzalendo wala hapendi wazalendo ilaMama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Usipokoselewa utajua wapi unakosea? Binadamu dhaifu ndio apendi kukoselewaHakuna binadamu anayependa kukosolewa hakuna ,kama yupo mtaje ,ni unafiki tu .
Ushu ya kupenda sifa ni kitu kikubwa ana maana tumecopy kutoka kwa Mungu ,Mungu anapenda sifa sana na akatuumba kwa mfano wake
USSR
hapa kwa Mwangosi unampaka tope tu, uchawa wa askari ndio ulipelekea kifo cha mwandishiHuyo Mkwere usione anacheka Cheka ni mkatili sana huyo !! Mikono yake imetapakaa damu ikiwemo ya mwandishi wa Habari Mwangosi aliyeamuru mapolisi wamuue Kule Iringa.