Ndivo alivokuambia ? wewe kishtobe tu .Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Soma kuhusu 'ostracism' utanishukuruMama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Soka ndiyo hivyo tena kama Ben saanane ,ngoja tusibili kitabu kingine cha Kabendera.Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Alisema kuna volume 2?Soka ndiyo hivyo tena kama Ben saanane ,ngoja tusibili kitabu kingine cha Kabendera.
Hakusema ,anaweza akatoa kama cha mwanzo tu alivyotoa bila kutuambia.Alisema kuna volume 2?
Malezi ya Magufuli iliyaona au ulikuwepo .Sio samia tu magufuri pia alikuwa hvyo
Samia kaiga kwa Magufuri,
Magufuri yeye ni malezi mabaya aliyopitia akiwa mdogo hakuzoea kuambiwa kitu
SwadaktaHakusema ,anaweza akatoa kama cha mwanzo tu alivyotoa bila kutuambia.
Ay ni aibu ya taifa
Elewa kuwa yeye ni mama na ni mke, kama alivyowahi kusema.Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Kwani AY kawa MAC MUGA? Mbona jamaa nasikia ana mtonyo wa maana ,anamiliki hadi Yatch ya kupeleka watu kwenye visiwa vya bongoyo na sinda...Ana miliki pia nyumba "Man hahen" USA.
Ujinga huu ulianzia kwa Rais Kikwete,ukaja kwa Magufuri na sasa ni kwa Rais Samiah.Urais uliisha Desemba mwaka 2005Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini.
Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede.
Lakini kwa wakosoaji hali ni tofauti, wakitekwa na kupotezwa hamna anayejali.
Sativa alikutwa na Jambo, akamtaja @mafwelele kuhusika, lakini hamna kilichofanyika na hali inazidi kuwa mbaya zaidi.
Kina Soka wana miezi zaidinya siita sasa hamna anayejali Usalama wao wala uhai wao.
Watanzania tuna haki ya kuishi salama, kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, ukawe mwezi wa huruma na sio mwezi wa hujuma.
Kukosolewa na kusifiwa ndio ubinadamu wenyewe.
Naunga mkono hoja"Kiongozi dhaifu ni yule anayejali vyeo na sifa zaidi ya kazi halisi."
— Theodore Roosevelt
Nyerere,Mwinyi,Mkapa,na hata Kikwete walikosolewa na mambo yalienda vizuri tu.Hakuna binadamu anayependa kukosolewa hakuna ,kama yupo mtaje ,ni unafiki tu .
Ushu ya kupenda sifa ni kitu kikubwa ana maana tumecopy kutoka kwa Mungu ,Mungu anapenda sifa sana na akatuumba kwa mfano wake
USSR
Elewa kuwa yeye ni mama na ni mke, kama alivyowahi kusema.