Kwanini Rais Samia anataka kusifiwa zaidi kuliko kukosolewa?

hapa kwa Mwangosi unampaka tope tu, uchawa wa askari ndio ulipelekea kifo cha mwandishi

kama ilivyo sasa hivi, kuna watendaji machawa wanafanya mambo ya kijinga kumfurahisha raisi
Unafahamu kuwa Askari waliomuua Mwangosi walipandishwa vyeo Baada ya yale mauaji? Aliwapandisha vyeo kwasababu gani? Ilikuwa Ahsante yao kwa kutimiza maagizo yake😳😳
 
Binadamu yeyote asiye na uwezo wa kiakili, kiuweledi, kiutendaji, hupenda sana kusifiwa ili "kucompensate" kile asichokuwa na uwezo nacho.
 
Jibu ni kwamba sa100 ni dhaifu sana (kiuongozi, hana maono) ndio maana anapenda sifa asizostahili...mtu yeyote mwenye akili hawezi kukubali kusifiwa vitu ambavyo sio vya kweli...ataona mnamsanifu hivyo atamaind!!!.
Kupenda sifa za kijinga kunaendana na akili ya mhusika!.
 
SIFA KWA WANAWAKE NI KIPAUMBELE
 
Mpaka wanatutumia kwenye facebook katoto ka kike kanampamba Rais Samiah kwa kiingereza huku kakijinasibu kuwa ni katoka shule ya serikali na siyo private,haya maigizo jamani yanaiua nchi hii pole pole.
 
Anaupiga mwingi sana,mama mitano tena,hakuna kama mama eeeeeh,mbeba maono huyo atavunja record .kafungua nchi ,watu wale urefu wa kamba zao
 
Si kweli

Mpe sa sifa alishafariki
 
Ni kwa sababu hakosei kama binadamu. Anajua kila kitu na anastahili sifa toka kwa viumbe wote hata wasioonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…