Hahahaogopa raisi anayefanya kampeni ya kugombea wakati ni raisi yupo madarakani
Bado hujasema Hadi useme vinginevyo utakereka sana Kwa sababu hakuna sifa anayopewa ni ya uongo kama unaijua niwekee hapa vinginevyo chuki zinakusumbua.Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera.
Hili si jambo ngeni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama.
Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha kumpgia Rais kampen kabla ya uchaguzi( Ongea na mama, Rafiki wa Samia nk..).
Wote tunafaham ni jinsi gani nguvu kubwa inatumika kumsifia Samia kiasi kwamba mpaka inakera hasa watu wana CCM.
Kwanini nguvu zote hizo zinazotumika kumsafisha asizitumie kutatua changamoto zinazochafua.
Bado hujasema Hadi useme vinginevyo utakereka sana Kwa sababu hakuna sifa anayopewa ni ya uongo kama unaijua niwekee hapa vinginevyo chuki zinakusumbua.
Samia hana Mpango wa kutatua shida za individuals ila za jamii maana za individuals hakuna anaeweza kuzimaliza
Ulitaka asitumie Nguvu 😁😁Pole sana