Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mzigo unapewa juuUtakuta wanao-push huu ujinga wa kubuni vitu vya hovyo hovyo na kijinga kama hivi ni wapigaji kina mchemba bashe au chalamila.
Wameshajua huyu mwanamke msifie tu anakaa miguu juu wao wanapiga vyao huku taifa linateketea.
Uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo!Bado hujasema Hadi useme vinginevyo utakereka sana Kwa sababu hakuna sifa anayopewa ni ya uongo kama unaijua niwekee hapa vinginevyo chuki zinakusumbua.
Samia hana Mpango wa kutatua shida za individuals ila za jamii maana za individuals hakuna anaeweza kuzimaliza
Wewe una uwezo mkubwa?Uwezo wake wa kiuongozi ni mdogo!
elimu , afya na nishati ni individual ? husikii madudu yaliyopo huko , hapa kwa Ndambi kila siku umeme unakatwa mara 5 yaan kama wapo field na hawatoi taarifa maana umeme hapa hatutumii tumeunganisha tu kweny nyumva zetu hivyo hata wakikataa vifaa vyetu havitaungua , kuwa ccmu yapaswa ujitoe akil kdg ila muda sio mtaanza zificha kadi na tshirt za ccmu Subirini tuBado hujasema Hadi useme vinginevyo utakereka sana Kwa sababu hakuna sifa anayopewa ni ya uongo kama unaijua niwekee hapa vinginevyo chuki zinakusumbua.
Samia hana Mpango wa kutatua shida za individuals ila za jamii maana za individuals hakuna anaeweza kuzimaliza
uchaguz mdg tumeona mauaji ya hadharani na bado kwako unaona sahihi , baadae unailalamikia USA kwa umaskini wako kumbe unashabikia watu wasio sahihiWewe una uwezo mkubwa?
Wewe una uwezo?uchaguz mdg tumeona mauaji ya hadharani na bado kwako unaona sahihi , baadae unailalamikia USA kwa umaskini wako kumbe unashabikia watu wasio sahihi
Madudu gani?elimu , afya na nishati ni individual ? husikii madudu yaliyopo huko , hapa kwa Ndambi kila siku umeme unakatwa mara 5 yaan kama wapo field na hawatoi taarifa maana umeme hapa hatutumii tumeunganisha tu kweny nyumva zetu hivyo hata wakikataa vifaa vyetu havitaungua , kuwa ccmu yapaswa ujitoe akil kdg ila muda sio mtaanza zificha kadi na tshirt za ccmu Subirini tu
Nguvu anayoitumia ni hii ya kuimarisha Uchumi 👇 👇Anajua kwambq hakubaliki kwa wanainchi ila kuna trick ndogo ilikuwa inampa ushindi wa huruma ila sasa kuna sehem kazingua itabidi aanze kusuka mipango upya na kwa nguvu zaidi maana ushawishi pekee hautoshi
Jibu: Hana mvuto, hana uwezo.
Mbaya zaidi anatumia kodi za wananchi kujitangaza.Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera.
Hili si jambo geni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama.
Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha kumpigia Rais kampeni kabla ya uchaguzi (Ongea na mama, Rafiki wa Samia nk)
Wote tunafahamu ni jinsi gani nguvu kubwa inatumika kumsifia Samia kiasi kwamba mpaka inakera hasa watu wana CCM.
Kwanini nguvu zote hizo zinazotumika kumsafisha asizitumie kutatua changamoto zinazomchafua.
Anapoteza Fedha nyingi kukubalika badala ya kuamishia Fedha hizo kwenye Miradi ili akubalike.
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah njoon mtetee legacy
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah njoon mtetee legacy