Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera.
Hili si jambo geni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama.
Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha kumpigia Rais kampeni kabla ya uchaguzi (Ongea na mama, Rafiki wa Samia nk)
Wote tunafahamu ni jinsi gani nguvu kubwa inatumika kumsifia Samia kiasi kwamba mpaka inakera hasa watu wana CCM.
Kwanini nguvu zote hizo zinazotumika kumsafisha asizitumie kutatua changamoto zinazomchafua.
Anapoteza Fedha nyingi kukubalika badala ya kuamishia Fedha hizo kwenye Miradi ili akubalike.
Mbaya zaidi anatumia kodi za wananchi kujitangaza.
Haya mambo ya Rais kujitangaza ninayaona huko TZ tu . Nchi za watu marais wapo busy …Uchumi, Business na ku convert resources into development …,. Ku prove kwa wananchi wao kwa vitendo na maendeleo.
Sio sisi nchi nzima imejaa mama huku watu hata maji ya kunywa ni shida vijijini.,
Sio sisi Rais anatafuta political fame kwa kugawa hela eti kwa kila goli moja. Huku ni kukosa kazi na ujanja ujanja ….. kazi zake ndio zinapaswq kumtambulisha … Sio huo utapeli wa matangazo
Sijawahi kuona nchi inasimamisha shughuli siku 2 kisa mkutano wa marais, nchi inaficha raia wake ils kuficha aibu. Nchi mbovu, chafu haina mpangilio, miundo mbinu hovyo…… kwanini msione aibu. Shame
Wakat wenzenu wapo busy kujenga nchi zao na mkienda huko mnashangaa….
Nyie mpo busy kuweka matangazo ya mchongo, mpo busy kuuza bandari, mpo busy kununua magoli , mpo busy na utekaji na ufisadi
Hicho kinachotokea cha kusimamisha shughuli ni dalili kubwa kuwa CCM IMESHINDWA 100 percent na haitoweza
Aibu