Kwanini Rais Samia anatumia nguvu kujitangaza badala ya kutatua shida za wananchi?

Hiyo ndiyo tabia ya wanawake wengi hivyo usishangae
 
Sema una shida gani dogo usaidiwe. Wengine hatuna shida hivyo usituinclude kwa matatizo yako. Au we ni mtoto wa mama nini!!!
 
Yaani hata sijui atakuwa anatuambia nini sa100 wakati wa kuomba kura!
Hana mvuto,
Hana sera,
Hajali watu wake n.k.
Nguvu kubwa itatumika kumrudisha madarakani.
Tusipoangalia, yale ya Msumbiji yanaweza kutokea na kwetu pia.
Mwenyezi Mungu atuepushie mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…