Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan.

Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea?

Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini.

Pia soma: Salamu za Mwaka Mpya za Rais Samia kwa Watanzania
 
Mnatuchosha tu na nyuzi zisizo na kichwa wala miguu yeye ndo mtekaji wa wananchii wasio na hatia na kuwZua.
 
Alishasema utekaji ni drama tuu. Kifo ni kifo tuu. Mpaka bodaboda sasa wanaua.watoto huko dodoma
 
Mnatuchosha tu na nyuzi zisizo na kichwa wala miguu yeye ndo mtekaji wa wananchii wasio na hatia na kuwZua.
Hujui usemacho. Kwani kama rais hawajibiki na usalama wa taifa na watu wake? Anakula bure kwanini? Kumbe hujui hata haki zako na nani wa kumkaba zikivunjwa!
 
Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan.

Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea?

Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. KWA HABARI ZAIDI, SOMA HAPA.
Gusia wewe

Ni nchi huru

Fanya press
 
Hujui usemacho. Kwani kama rais hawajibiki na usalama wa taifa na watu wake? Anakula bure kwanini? Kumbe hujui hata haki zako na nani wa kumkaba zikivunjwa!
Hujamuelewa , anasema Samia ndio muhusika mkuu hivyo hawezi kujihoji.
 
Kama ni hivyo, sina tatizo ila nikiangalia mambo aliyowekea mkazo sioni tofauti. Na isitoshe issue haikuwa kuhoji bali kuto hata gusia.
 
Back
Top Bottom