Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
HahahahaaUnaweza kuhoji mambo yako?
unao ushahidi?Mnatuchosha tu na nyuzi zisizo na kichwa wala miguu yeye ndo mtekaji wa wananchii wasio na hatia na kuwZua.
Mijitu mingine ajabu. Mbona umewekwa kwenye link.unao ushahidi?
Hujui usemacho. Kwani kama rais hawajibiki na usalama wa taifa na watu wake? Anakula bure kwanini? Kumbe hujui hata haki zako na nani wa kumkaba zikivunjwa!Mnatuchosha tu na nyuzi zisizo na kichwa wala miguu yeye ndo mtekaji wa wananchii wasio na hatia na kuwZua.
Haswa. Ila yangu si muhimu kama ya taifa na watu wake mwanangu jingaaa.Unaweza kuhoji mambo yako?
Nimewekwa kwenye link gani?Mijitu mingine ajabu. Mbona umewekwa kwenye link.
Gusia weweKwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan.
Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea?
Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. KWA HABARI ZAIDI, SOMA HAPA.
Yaani unamaanisha kuwa, wewe ndo mtekaji na muuaji, halafu tena ujizungumzie wewe mwenyewe? Hilo mpaka Yesu arudiUnaweza kuhoji mambo yako?
Ndiyo maana ya tafakari,ili kuboresha au kudumisha yaliyo bora na kuondosha au kupunguza mapungufu.Unaweza kuhoji mambo yako?
Hujamuelewa , anasema Samia ndio muhusika mkuu hivyo hawezi kujihoji.Hujui usemacho. Kwani kama rais hawajibiki na usalama wa taifa na watu wake? Anakula bure kwanini? Kumbe hujui hata haki zako na nani wa kumkaba zikivunjwa!
Kwanini haupo
Kama ni hivyo, sina tatizo ila nikiangalia mambo aliyowekea mkazo sioni tofauti. Na isitoshe issue haikuwa kuhoji bali kuto hata gusia.Hujamuelewa , anasema Samia ndio muhusika mkuu hivyo hawezi kujihoji.
Angalia pale kwenye maandishi ya HERUFI KUBWA panaposomeka KWA HABARI ZAIDI BONYEZA HAPA utapata huo ushahidi mwanangu.Nimewekwa kwenye link gani?