Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Rais Mwanamke wa kwanza Tanzania lakini cha ajabu wakati Dunia nzima mpaka hata ikijitahidi kuongeza quota za Wanawake kisheria kwenye nafasi za Uongozi huku wengine hata wakiweka kwenye Katiba Tanzania zao ambapo Rais wake ni Mwanamke ndiyo nchi yenye Wanawake wachache karibia klk zote Afrika, why?
India imepitisha ya quota za Wanaweka kwenye Bunge, hata Kenya wanayo na bosi Rwanda pia ana quota za Wanawake kama sikosei kwanini Tanzania hakuna CEO au hata Mkurugenzi Mwanamke?
Nafikiri Rais Magufuli aliteua Wanawake wengi zaidi kuliko hata Rais Samia.