Una matatizo ya usikivuRais Mwanamke wa kwanza Tanzania lkn cha ajabu wakati Dunia nzima mpaka hata ikijitahidi kuongeza quota za Wanawake kisheria kwenye nafasi za Uongozi huku wengine hata wakiweka kwenye Katiba Tanzania zao ambapo Rais wake ni Mwanamke ndiyo nchi yenye Wanawake wachache karibia klk zote Afrika, why?
India imepitisha ya quota za Wanaweka kwenye Bunge, hata Kenya wanayo na bosi Rwanda pia ana quota za Wanawake kama sikosei kwanini Tanzania hakuna CEO au hata Mkurugenzi Mwanamke?
Nafikiri Rais Magufuli aliteua Wanawake wengi zaidi klk hata Rais Samia.
Wewe ni kijakazi kweli, unakaa wapi ndugu yangu ata uoni?Rais Mwanamke wa kwanza Tanzania lakini cha ajabu wakati Dunia nzima mpaka hata ikijitahidi kuongeza quota za Wanawake kisheria kwenye nafasi za Uongozi huku wengine hata wakiweka kwenye Katiba Tanzania zao ambapo Rais wake ni Mwanamke ndiyo nchi yenye Wanawake wachache karibia klk zote Afrika, why?
India imepitisha ya quota za Wanaweka kwenye Bunge, hata Kenya wanayo na bosi Rwanda pia ana quota za Wanawake kama sikosei kwanini Tanzania hakuna CEO au hata Mkurugenzi Mwanamke?
Nafikiri Rais Magufuli aliteua Wanawake wengi zaidi kuliko hata Rais Samia.