Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.
Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya!
Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na wasionewe
Kha, ghafla akaagiza Wamachinga wafukuzwe, hii ikajenga chuki kubwa juu yake, watu wa chini wakaanza kumkumbuka Magufuli
Likaja suala la Kukutana na Wapinzani, akakutana na Lissu Ubelgiji, watu wakalipokea vizuri sana, Na pia Mbowe alipoachiwa akaanza mikutano yake na Rais, likatuliza nchi, watu wakaanza kumpokea vizuri Samia na kupunguza hasira zao baada ya kumuweka Mbowe ndani kimagumashi!.
Kha Ghafla juzi Vijana wa Chadema juzi wanakamatwa na Polisi, watu wanaanza tena kuhoji kama Samia ana nia njema
Juzi hapa kaongeza mshahara na posho, watu wakalipokea positively, watu wakamuappreciate Samia
Kha, Leo tunaambiwa Mizengo Pinda, Eti naye kaongezwa kwenye kikosi kazi. Yaani badala ya kujaribu kukijengea kikosi kazi Legitimacy, hasa kutokana na kwamba hakiaminiki, yeye anakwenda kuchukua mstaafu, tena mwanaCCM mjumbe wa kamati, ambaye alikuwa ni Waziri mkuu kipindi rasimu ya Warioba inavurugwa na CCM na kumuweka katika kikosi kazi. Kwa kweli Rais amebutua!
Kiufupi Samia anafanya kazi nzuri leo kesho kukichwa anabutua, anaharibu kazi yake mwenyewe!.
Mimi najiuliza nani anampa ushauri?, Na kwa nini anapokea ushauri unaomharibia mazuri yake mwenyewe?
Wanamhujumu au anajihujumu mwenyewe?