kamjabari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,144
- 1,668
Kuna kundi ndani ya ccm anapambana nalo hivyo humsoma nyendo zake na kumvuruga
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
System haitaki demokrasia na katiba mpya?Huko ndani kwenye system wenyewe wanamtisha kuwa akiwaacha hawa jamaa ataokota mabua.
Naye ana moyo lazima aogope.
Haitaki kwa sababu wao ni wanufaikaSystem haitaki demokrasia na katiba mpya?
Sio rahisi wanamzidi nguvuMataga na Hardliners wa jiwe ndio wanaokoroga mambo, bado wako na hangover. Jambo la kushangaza hawaondoi kwenye system!
Kuifungua nchi kwa kuwaumiza wale unaowaongoza mimi naona ni ujinga tu, kwangu mwerevu akishafanya kosa na akagundua amekosea hubadilika, lakini kuendelea kukomaa kutenda kosa ni ujinga.Pengine tumpe 'credit' yake pale inapostahili.
Alishasema "anakwenda kuifungua nchi", na nikitizama hajarudi nyuma katika hilo, bali ni jinsi gani anaifungua nchi ndilo tatizo. Katika hili, hata kama anafuata maelekezo, sioni kuwa ameyumba juu yake. Amedhamiria kabisa kuwa upande huyo wa kuiuza mali ya Tanzania kwa gharama yoyote ile.
Haya mengine anayo"flip flop' juu yake, ni kwa sababu anatafuta kuridhisha makundi mbalimbali, hata wakati makundi hayo yanapingana kati yao. Anataka jumuia za kimataifa zimuone kuwa yeye ni kiongozi anayesikiliza matatizo ya wananchi, wakati huo huo, ndani ya chama chake hawaruhusu mambo yanayotafutwa na hizo jumuia za kimataifa.
She is terribly conflicted. Torn apart!
Ni kama JK alivyofanya kwenye ishu ya Katiba Mpya,alianza vizuri lakini hotuba aliyoitoa kwenye Bunge Maalum la Katiba iliharibu kila kitu,kazi yote nzuri iliyofanywa na tume ya Jaji Warioba ikachakachuliwa na wanaccm.Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.
Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya!
Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na wasionewe
Kha, ghafla akaagiza Wamachinga wafukuzwe, hii ikajenga chuki kubwa juu yake, watu wa chini wakaanza kumkumbuka Magufuli
Likaja suala la Kukutana na Wapinzani, akakutana na Lissu Ubelgiji, watu wakalipokea vizuri sana, Na pia Mbowe alipoachiwa akaanza mikutano yake na Rais, likatuliza nchi, watu wakaanza kumpokea vizuri Samia na kupunguza hasira zao baada ya kumuweka Mbowe ndani kimagumashi!.
Kha Ghafla juzi Vijana wa Chadema juzi wanakamatwa na Polisi, watu wanaanza tena kuhoji kama Samia ana nia njema
Juzi hapa kaongeza mshahara na posho, watu wakalipokea positively, watu wakamuappreciate Samia
Kha, Leo tunaambiwa Mizengo Pinda, Eti naye kaongezwa kwenye kikosi kazi. Yaani badala ya kujaribu kukijengea kikosi kazi Legitimacy, hasa kutokana na kwamba hakiaminiki, yeye anakwenda kuchukua mstaafu, tena mwanaCCM mjumbe wa kamati, ambaye alikuwa ni Waziri mkuu kipindi rasimu ya Warioba inavurugwa na CCM na kumuweka katika kikosi kazi. Kwa kweli Rais amebutua!
Kiufupi Samia anafanya kazi nzuri leo kesho kukichwa anabutua, anaharibu kazi yake mwenyewe!.
Mimi najiuliza nani anampa ushauri?, Na kwa nini anapokea ushauri unaomharibia mazuri yake mwenyewe?
Wanamhujumu au anajihujumu mwenyewe?
Sukuma Gang wanamzidi kete kwenye baadhi ya maeneo, angalia aijipii anavyomzodoa na bado anachelea kumpiga chini.Kuna kundi ndani ya ccm anapambana nalo hivyo humsoma nyendo zake na kumvuruga
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Ongeza hiiSamia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.
Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya!
Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na wasionewe
Kha, ghafla akaagiza Wamachinga wafukuzwe, hii ikajenga chuki kubwa juu yake, watu wa chini wakaanza kumkumbuka Magufuli
Likaja suala la Kukutana na Wapinzani, akakutana na Lissu Ubelgiji, watu wakalipokea vizuri sana, Na pia Mbowe alipoachiwa akaanza mikutano yake na Rais, likatuliza nchi, watu wakaanza kumpokea vizuri Samia na kupunguza hasira zao baada ya kumuweka Mbowe ndani kimagumashi!.
Kha Ghafla juzi Vijana wa Chadema juzi wanakamatwa na Polisi, watu wanaanza tena kuhoji kama Samia ana nia njema
Juzi hapa kaongeza mshahara na posho, watu wakalipokea positively, watu wakamuappreciate Samia
Kha, Leo tunaambiwa Mizengo Pinda, Eti naye kaongezwa kwenye kikosi kazi. Yaani badala ya kujaribu kukijengea kikosi kazi Legitimacy, hasa kutokana na kwamba hakiaminiki, yeye anakwenda kuchukua mstaafu, tena mwanaCCM mjumbe wa kamati, ambaye alikuwa ni Waziri mkuu kipindi rasimu ya Warioba inavurugwa na CCM na kumuweka katika kikosi kazi. Kwa kweli Rais amebutua!
Kiufupi Samia anafanya kazi nzuri leo kesho kukichwa anabutua, anaharibu kazi yake mwenyewe!.
Mimi najiuliza nani anampa ushauri?, Na kwa nini anapokea ushauri unaomharibia mazuri yake mwenyewe?
Wanamhujumu au anajihujumu mwenyewe?
Umeongea uongo mtupuSamia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.

Yaani anapiga ndole mpaka mpira unafumuka?Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.
Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya!
Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na wasionewe
Kha, ghafla akaagiza Wamachinga wafukuzwe, hii ikajenga chuki kubwa juu yake, watu wa chini wakaanza kumkumbuka Magufuli
Likaja suala la Kukutana na Wapinzani, akakutana na Lissu Ubelgiji, watu wakalipokea vizuri sana, Na pia Mbowe alipoachiwa akaanza mikutano yake na Rais, likatuliza nchi, watu wakaanza kumpokea vizuri Samia na kupunguza hasira zao baada ya kumuweka Mbowe ndani kimagumashi!.
Kha Ghafla juzi Vijana wa Chadema juzi wanakamatwa na Polisi, watu wanaanza tena kuhoji kama Samia ana nia njema
Juzi hapa kaongeza mshahara na posho, watu wakalipokea positively, watu wakamuappreciate Samia
Kha, Leo tunaambiwa Mizengo Pinda, Eti naye kaongezwa kwenye kikosi kazi. Yaani badala ya kujaribu kukijengea kikosi kazi Legitimacy, hasa kutokana na kwamba hakiaminiki, yeye anakwenda kuchukua mstaafu, tena mwanaCCM mjumbe wa kamati, ambaye alikuwa ni Waziri mkuu kipindi rasimu ya Warioba inavurugwa na CCM na kumuweka katika kikosi kazi. Kwa kweli Rais amebutua!
Kiufupi Samia anafanya kazi nzuri leo kesho kukichwa anabutua, anaharibu kazi yake mwenyewe!.
Mimi najiuliza nani anampa ushauri?, Na kwa nini anapokea ushauri unaomharibia mazuri yake mwenyewe?
Wanamhujumu au anajihujumu mwenyewe?
Ni ubatili na ukandamizaji kuwaongezea posho ya Tsh. 130,000 wenye mishahara mikubwa na Tsh. 20,000 wenye mishahara midogo
Imeandikwa: Mwenye nacho ataongezewa. Bora angeongeza 120,000 mpk 150,000 inatosha kaibsawww.jamiiforums.com
Huyu si ndiye alisema wapigwe tu.Watu wamekaa madarakani mpaka wamestaafu,wamekuwa wazee bado wanapewa vyeo vya ajabu ajabu.Wakati mwingine ni kudhalilisha cheo cha mtu.Waziri mkuu mstaafu (mzee) yupo kwenye kikosi,spika wa bunge mstaafu Anne (mzee)Mkiti Sensa ya makazi.Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.