ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
AlaaYupo Kenya
Yani bango limejaa hisia kali..nawaunga mkono..watu wapewe hela zao watajua wenyewe..why umtunzie? Mbona wabunge wanapewa zote...hapa watasema sio wafanyakazi chini ya serikali..sawa basi na wazee wanaostaafu sio tena wafanyakazi chini ya serikali wapewe hela zao full stop...
Alichaguliwa sababu ni mwanamke na si kwa uwezo wake.Lakini si mlimtea wenyewe kwenye zile kamati zenu za chama?
Hahaha safi sana
75% NdyoUmeyapitia mataifa yote yanayoendeleA na kujiridhisha kwamba maraisi wao leo Mei mosi 2024 wapo Uwanjani wanahutubia?
Naona kikokotoo ndio majaliwa ya Muumba na kifo ndio wapo waliokwisha kadiria wenzao
Yeye unaweza ukakuta akamsindikiza RutoRuto naye atatuma mwakilishi?
Hii siyo sawa watu wapewe pesa zao hii ni kuwatesa wazee wetu.....hii nchi hiii yaan
Bango kama hili lingeandikwa na Chama Cha Wafanyakazi mkoa wa Arusha, nina uhakika wangewekwa ndani.
Hii sio namna nzuri ya ujenzi wa hoja. Pinga kwa hoja sio kwa matusi. Nchi hii niyetu sote.Yaani akili ya hovyo sana hii. Hujui delegating maana yake nini. nyumbu wa hedi. Hyaunastahili kuongezewa mshahara kwa kipi unachozalisha. Yaani kwa mwezi unazalisha shilingi ngapi kukupa haki ya kuongezewa mshahara. Nyumbu nusu kilo kabisa.