Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

Sasa hapo siangepandatu ndege chap kwaa akaingia chugani kwa wadudu hapo?
 
Yaani akili ya hovyo sana hii. Hujui delegating maana yake nini. nyumbu wa hedi. Hyaunastahili kuongezewa mshahara kwa kipi unachozalisha. Yaani kwa mwezi unazalisha shilingi ngapi kukupa haki ya kuongezewa mshahara. Nyumbu nusu kilo kabisa.
 
Nilijua majibu ya kero zote yanakuwa yameandaliwa nikusomwa tu siku husika.
 
Yaani akili ya hovyo sana hii. Hujui delegating maana yake nini. nyumbu wa hedi. Hyaunastahili kuongezewa mshahara kwa kipi unachozalisha. Yaani kwa mwezi unazalisha shilingi ngapi kukupa haki ya kuongezewa mshahara. Nyumbu nusu kilo kabisa.
Hii sio namna nzuri ya ujenzi wa hoja. Pinga kwa hoja sio kwa matusi. Nchi hii niyetu sote.
Kama wewe kipato chako kinakutosha acha wengine walalamikie waajiri wao
 
Back
Top Bottom