Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Na nani?Bango kama hili lingeandikea na Chama Cha Wafanyakazi mkoa wa Arusha, nina uhakika wangewekwa ndani.
Nakazia hoja. This 👆👆is a sample of a good n polite way to answerHii sio namna nzuri ya ujenzi wa hoja. Pinga kwa hoja sio kwa matusi. Nchi hii niyetu sote.
Kama wewe kipato chako kinakutosha acha wengine walalamikie waajiri wao
Hahaaa, chuma kilikuwa kinataka matokeo sio kulemba maneno ya lahaja, vishazi n.kKilaza yule kwanza muoga sana.Yaani kipindi kile Magufuli akiwa Rais ,Magufuli akichachamaa Samia anatoa machozi hadi alitaka kujiuzulu.Bora angejiuzulugu tu.
Matako Gang a.k.a Kolomije GangNa nani?
CCM Leo Hawana Raha KabisaNilijua majibu ya kero zote yanakuwa yameandaliwa nikusomwa tu siku husika.
Pengine bado hana majibu kuhusu kikokotoo na nyongeza za mishaharaNilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo ,Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Kwani imekuwaje mkuu? Tupashe habari.CCM Leo Hawana Raha Kabisa
Kwani ishu ya May mosi ni jambo la ghafla mpaka huyo Rais wa Zanzibar akatishe ziara yake! Ina maana hilo swala halikuwa kwenye ratiba yake?Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo ,Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Anaweza akasoma ila akashindwa kuelezea alichokisoma...hivyo ni vitu viwili tofauti.Inawezekana akaandikiwa aseme nini i.e. Asome kama ilivyoandikwa.
MtanikimbukaNi swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..
Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa Zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Watu wengine bwana hujaulizwa wewe ila unatililika kama vile wewe ndiye uliyeulizwa swali. Hi suala la uchawa sasa limefikia mahali pabaya sana, mpaka kwenye mambo ya msingi. Mtoa hoja kauliza maswali ya msingi. Haya sasa unasema mwakilishi atayajibia hayo maswali sikukuu imeisha je yalijibiwa. Wakati mwingine kukaa kimya ni jibu.Mkuu, Hivi huyo aliyekuja hatoshei kutoa majibu? Kwani Uwakilishi unamaanisha kitu gani?........ Inafikirisha sana.
Halafu kama ni kweli ulidhania Rais atakuja.............lakini sasa imetokea hakuja yy in person hakuna sababu ya kuendelea na kudhania amekimbia.......n.k. nk. Nashauri ungefuatilia zaidi kama hoja, dukuduku na kero za wafanyakazi zimepata majibu stahiki au la.
Mkuu tusiwalinganishe watu au Marais.Yule wa Z'bar kafanya kwa maamuzi yake ukizingatia kwamba Kila mmoja anatenda kadri ya Utaratibu wake. (Ni kama kudai eti huyu mbona anakula Ugali mwenzake anakula wali....)
Labda nikuulize (samahani lakini); mbona Mh. Magu hakupenda sana kutoka nje ya nchi lakini wadau Tulihoji, huyu wa sasa anatoka nje ya nchi lakini wadau bado Tunahoji - Tutahoji mpaka lini?
Hii ni nzuri sana!TUPEWE HELA ZETU ZOTE TUKAFIE MBELE.........si mchezo!
Haijatajwa wala kuwepo Licha ya Ahadi iliyotolewa mwaka janaRais anatakiwa hawepo Leo angeairisha iyo ziara sasa mipango atajibu nn?
Ile asilimia 23% itakuwepo kweli.
Ana fedha za kuchezea na kupotezaYupo Kenya