Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

Rais anatakiwa hawepo Leo angeairisha iyo ziara sasa mipango atajibu nn?

Ile asilimia 23% itakuwepo kweli.
 
Hii sio namna nzuri ya ujenzi wa hoja. Pinga kwa hoja sio kwa matusi. Nchi hii niyetu sote.
Kama wewe kipato chako kinakutosha acha wengine walalamikie waajiri wao
Nakazia hoja. This 👆👆is a sample of a good n polite way to answer
 
Kilaza yule kwanza muoga sana.Yaani kipindi kile Magufuli akiwa Rais ,Magufuli akichachamaa Samia anatoa machozi hadi alitaka kujiuzulu.Bora angejiuzulugu tu.
Hahaaa, chuma kilikuwa kinataka matokeo sio kulemba maneno ya lahaja, vishazi n.k
 
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha..
Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..

Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo ,Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..
Mbona amekimbia?
Mbona mwenzake wa zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Kwani ishu ya May mosi ni jambo la ghafla mpaka huyo Rais wa Zanzibar akatishe ziara yake! Ina maana hilo swala halikuwa kwenye ratiba yake?
 


Ahadi mwaka jana
 
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo..

Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara..

Mbona amekimbia?

Mbona mwenzake wa Zanzibar alikuwa Na ziara ila akaisimamisha..?
Mtanikimbuka
 
Mkuu, Hivi huyo aliyekuja hatoshei kutoa majibu? Kwani Uwakilishi unamaanisha kitu gani?........ Inafikirisha sana.
Halafu kama ni kweli ulidhania Rais atakuja.............lakini sasa imetokea hakuja yy in person hakuna sababu ya kuendelea na kudhania amekimbia.......n.k. nk. Nashauri ungefuatilia zaidi kama hoja, dukuduku na kero za wafanyakazi zimepata majibu stahiki au la.
Mkuu tusiwalinganishe watu au Marais.Yule wa Z'bar kafanya kwa maamuzi yake ukizingatia kwamba Kila mmoja anatenda kadri ya Utaratibu wake. (Ni kama kudai eti huyu mbona anakula Ugali mwenzake anakula wali.... :KEKBye: )
Labda nikuulize (samahani lakini); mbona Mh. Magu hakupenda sana kutoka nje ya nchi lakini wadau Tulihoji, huyu wa sasa anatoka nje ya nchi lakini wadau bado Tunahoji - Tutahoji mpaka lini?
Watu wengine bwana hujaulizwa wewe ila unatililika kama vile wewe ndiye uliyeulizwa swali. Hi suala la uchawa sasa limefikia mahali pabaya sana, mpaka kwenye mambo ya msingi. Mtoa hoja kauliza maswali ya msingi. Haya sasa unasema mwakilishi atayajibia hayo maswali sikukuu imeisha je yalijibiwa. Wakati mwingine kukaa kimya ni jibu.
 
Hii ni nzuri sana!
IMG-20240501-WA0003.jpg



IMG-20240501-WA0004.jpg
 
Wataalam wa acurial science wanachambua suala la kikokotoo watashauri tuwe wapole na wastahimilivu as per 4 R
 
Back
Top Bottom