Hakuna namna, kwa hapa tulipofikia nchini CCM iweze kutaeala nchi hii kwa ridhaa ya wananchi.
Hadhi ya CCM imeshuka sana miongoni mwa wananchi. Isingekuwa hela namaguvu ya jeshi na madaraka, CCM ingesha sahaulika sasa hivi.
Vyama vya upinzani vyinanguvu ya kweli mioyoni mwa wananchi kuliko CCM hivyo bila kutumia mabavu ya jeshi, mafaraka( uteuzi na tenda za halmashauri na setikali kuu) na fedha za hazina, CCM haiwezi kusimama au kukubalika na wananchi kwa hiyari yao.
Hii inaonekana lkwa watawala na CCM kwa ujumla, kukumbatia katiba hii mbovu kiasi cha kuwa tayari hata kuua wote wenye mawazo ya kubadilisha hasa kitengo cha tume ya uchsguzi ili iendelee kuwa kiinimacho kwa wafadhili wa serikali huko nje.