Kwanini Rais Samia naye anataka kutumia mabavu kutawala? Umuombee dua gani?

Kweli aisee. Watu hawawajui vizuri Wazanzibar. Never Under rate them. Alishindwa Kusema Rais anaumwa japo wanaompenda wakamwombea Dua?
 
mara ya mwisho kusikia mwanamchi anahitaja chadema mtaani ilikuwa duh muda sana
 
Tinataka katiba mpya.
 
msimuombee mabaya , sala iwe "Mungu wa Israel ampende"
 
Nilimpenda sana huyu mama alipoingia madarakani, lakini sasa naona ameanza kushindwa kwa speed kubwa mno! Huu ni ushindi mnono sana kwa 'watesi wake' ndani ya chama lake. Lakini huyu mama yeye anafikiria wabaya wake wako nje ya ccm! Hili ndio kosa linalokwenda kumgharimu huyu mama!
 
Tinataka katiba mpya.
Mama Samia anavuta bong, I would like some of that. She is useless with no vision. Kesho sends Comoro kujitambulisa. Sijui Biden atakuja lini Bongo kujitambulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…