Kwanini Rais Samia Suluhu asiweke JWTZ kusimamia bandari?

kanamaheri

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
99
Reaction score
84
Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.

Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengine wale
 
Noted.

Asipolichukua Hilo anayeingia Toka bench atalifanyia kaz. Amen
 
Machimbo ya Mererani yamejengewa ukuta mrefu, pamewekwa Camera kuzunguka ukuta wote na Panalindwa masaa 24 na TPDF na bado madini yanaibwa na kutoroshwa kwa wingi kufikia kiwango cha kutoa machozi.

Sasa kwa hali hiyo TPDF wakipewa bandari watafanya nini?
Wezi wa hii nchi wamejaa mpaka majeshini.
 
Yaani hii nchi kweli hakuna namna ya kuwapata na kuwawajibisha wezi?
 
Lete ushahidi unachokiongea. Umebebeshwa maneno ya wana siasa na umeyaamini. Tuliopo Arusha tunasema kujengwa kwa ukuta na kuwekwa mifumo ya ulinzi kumeleta ukombozi mkubwa sana ktk machimbo ya Tanzanite.

kinachofanyika ni Propaganda za wale waliokuwa wananufaika na wizi katika machimbo hayo na wanatamani sana Jeshi liondolewe. Kujengwa ukuta na kuwekwa ulinzi imara kumeondoa wizi wa madini kwa 90%
 
Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.

Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Korosho na MSD imewashinda wataweza bandari
 
Kuna mambo ukianza kushirikisha wajeda na wao kuona utamu wa asali basi kuna jambo lazima watafanya tu wamiliki mzinga na vibuyu vyooote.

Awamu iliyopita waliweka wazee wa kaunda suti kila mahala mle ndani lakini waapi, waenglish wanaita organized crime.
 
Tangu muone wanajeshi wanabangua korosho na kufyatua matofali ya ukuta basi kila kazi mnataka wapewe wao. Hakuna nchi huwa naona ya kipuuzi kama inayotegemea jeshi kuendesha mambo yao. Developed countries sio wajinga kutenga jeshi na civilian organs
 
Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.

Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Mbona wapo toka enzi za Jiwe lakini upigaji ni ule ule?

Kinacholinda sio tpdf bali uadilifu wa watu na Tanzania haina watu waadilifu,akijitokeza mmja atapigwa majungu na kuondolewa.
 
Hapa kuna yule member mwenye bifu na mapopoma atapendekeza bandari iwe chini ya RDF
 
Wajeda wamekula MSD imebaki nyeupe mpaka dawa za bima (NHIF) hazipo.

MSD imefilisiwa kabisa
 
Yaani hii nchi kweli hakuna namna ya kuwapata na kuwawajibisha wezi?
Naona katika hizi watu waape kabisa kutofanya uwizi, namshauri Mheshimiwa Rais ateue mtu mwaminifu na ale kiapo, Vijana wa kazi nao waongezwe pia....na wakae sehemu moja wote
 
Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.

Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Mkono hoja
 
Luteni Jenerali Shimbo alipokuwa jeshini ulikuwa hujazaliwa?
 
Machimbo ya Mererani yamejengewa ukuta mrefu, pamewekwa Camera kuzunguka ukuta wote na Panalindwa masaa 24 na TPDF na bado madini yanaibwa na kutoroshwa kwa wingi kufikia kiwango cha kutoa machozi.

Sasa kwa hali hiyo TPDF wakipewa bandari watafanya nini?
Wezi wa hii nchi wamejaa mpaka majeshini.
Mkuu unahakika? Kwa hiyo unataka kutaaminisha kuwa baada ya ukuta kujengwa ndio madini yanatoroshwa jwa wingi kuliko wakati ule?
 
Ya MSD yanatosha kaka. Bandarini panahitaji overhaul from the scratch
 
Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.

Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Siku hizi ni vigumu kujua kama kweli hata hawa wanaweza. Kule bohari ya madawa, si alikuwepo mjeda, au?

CCM imekwishaingia kila mahali na kuharibu kila kitu.
 
Hapo ndipo napompendea Kagame. Angekuwa Rais wetu kusingekuwa na upuz bandarini. The man has authority and when he talk and command people obey him.

"He who wishes to be obeyed must know how to command".

Machiaveli
 
Back
Top Bottom