MANGANAATAU MATHITHINYANA
Senior Member
- Mar 17, 2022
- 101
- 97
Kwani huko ndio kuna malaika? Upigaji unaweza kuwepo hata huko, kama CAG angefika huko yangeibuliwa madudu kama hayo ya Bandarini.Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee