kanamaheri
Member
- Sep 24, 2021
- 99
- 84
Yaani hii nchi kweli hakuna namna ya kuwapata na kuwawajibisha wezi?
Lete ushahidi unachokiongea. Umebebeshwa maneno ya wana siasa na umeyaamini. Tuliopo Arusha tunasema kujengwa kwa ukuta na kuwekwa mifumo ya ulinzi kumeleta ukombozi mkubwa sana ktk machimbo ya Tanzanite.Machimbo ya Mererani yamejengewa ukuta mrefu, pamewekwa Camera kuzunguka ukuta wote na Panalindwa masaa 24 na TPDF na bado madini yanaibwa na kutoroshwa kwa wingi kufikia kiwango cha kutoa machozi.
Sasa kwa hali hiyo TPDF wakipewa bandari watafanya nini?
Wezi wa hii nchi wamejaa mpaka majeshini.
Korosho na MSD imewashinda wataweza bandariBandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Mbona wapo toka enzi za Jiwe lakini upigaji ni ule ule?Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Naona katika hizi watu waape kabisa kutofanya uwizi, namshauri Mheshimiwa Rais ateue mtu mwaminifu na ale kiapo, Vijana wa kazi nao waongezwe pia....na wakae sehemu moja woteYaani hii nchi kweli hakuna namna ya kuwapata na kuwawajibisha wezi?
Mkono hojaBandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Luteni Jenerali Shimbo alipokuwa jeshini ulikuwa hujazaliwa?Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Mkuu unahakika? Kwa hiyo unataka kutaaminisha kuwa baada ya ukuta kujengwa ndio madini yanatoroshwa jwa wingi kuliko wakati ule?Machimbo ya Mererani yamejengewa ukuta mrefu, pamewekwa Camera kuzunguka ukuta wote na Panalindwa masaa 24 na TPDF na bado madini yanaibwa na kutoroshwa kwa wingi kufikia kiwango cha kutoa machozi.
Sasa kwa hali hiyo TPDF wakipewa bandari watafanya nini?
Wezi wa hii nchi wamejaa mpaka majeshini.
Siku hizi ni vigumu kujua kama kweli hata hawa wanaweza. Kule bohari ya madawa, si alikuwepo mjeda, au?Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee