MANGANAATAU MATHITHINYANA
Senior Member
- Mar 17, 2022
- 101
- 97
Kwani huko ndio kuna malaika? Upigaji unaweza kuwepo hata huko, kama CAG angefika huko yangeibuliwa madudu kama hayo ya Bandarini.Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengineeeeeee waleeeeee
Kama civilian are corrupt what are we going to do my colleague?Tangu muone wanajeshi wanabangua korosho na kufyatua matofali ya ukuta basi kila kazi mnataka wapewe wao. Hakuna nchi huwa naona ya kipuuzi kama inayotegemea jeshi kuendesha mambo yao. Developed countries sio wajinga kutenga jeshi na civilian organs
Wenyewe Ni Wachafu Kama Hao Wengine Wamepaki Jina TuKorosho na MSD imewashinda wataweza bandari
Hana loloteHapo ndipo napompendea Kagame. Angekuwa Rais wetu kusingekuwa na upuz bandarini. The man has authority and when he talk and command people obey him.
"He who wishes to be obeyed must know how to command".
Machiaveli
Achana kabisa ns hzo wavaa rangi za majani mchanganyiko, wana usela mavi mavi hivi wataharibu kabisaaa amini nakwambia.Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengine wale
Unafikiri bandari ni maji tu, weka mjeda uone kama kuna mzigo utapita pale..Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengine wale
Kama kutumia jeshi ingelikuwa suluhisho la matatizo ya utendaji mbovu, basi nchi zilizotawaliwa na wanajeshi zingelikuwa zimepiga hatua kubwa sana.Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengine wale
Haya ni mawazo ya mtu mwenye wivu na walioemdelea. Unataka waharibu biashara alafu uje hapa kulalamika?Bandari ya Dar es salam, inatoa huduma kwenye nchi 6 ambazo watalaamu wanaziita LAND LOCKED COUNTRIES. Kila mara tumekuwa tukiondoa wakurugenzi pale TPA. Madam, Rais wetu mpendwa kwanini usiweke mtu kutoka TPDF mwenye utalaamu na bandari hawa wameapa kuilinda katiba na sisi wananchi sasa kama raia wa kawaida MH.
Rais wetu unaweka wanavurunda. Teua mjeda, wajumbe wa bodi wajeda. Wanatuchelewesha hawa wengine, Na Kila geti liwe JWTZ na wale wengine wale
Mfatilie Balozi mstaafu Luteni Jenerali Abdulhaman Shimbo na tuhuma zake. Jeshi ni taasisi ngumu kiasi kuitia hatiani ikifanya ubadhirifu, haifai kupewa kazi ambazo haina uzoefu nazo. Wiki hii jeshi la maji la Uingereza limegoma kufanya operation ya kuzuia wahamiaji haramu baharini. Limetoa report tangu lianze uhamiaji huo haramu umekua mara mbili, jeshi limesema limefeli kwa kuwa halikufundishwa kukimbizana na wahamiaji. Limedai linatumia resources zake kwenye kazi za kipuuzi ambazo hazilisaidii kuilinda nchi. Hiyo ni kazi ya border patrol au polisi.Kama civilian are corrupt what are we going to do my colleague?