Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Tunaweza kubadilika nakuokoa fedha na rasilimali wakati pale tutakapokubali kwamba upo umihimu wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Mhe. Rais akiwa popote nchini anakuwa na wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama ambao naamini Kila mmoja anakwenda na timu ya Watu wasiopungua kumi. Watu Hawa qanalipwa na mafuta yanalipwa pia Kwa Kodi zetu.
Lakini akiwa nje ya nchi hakuna Mkuu wa chombo anayeambatana naye. Maana yake ni kwamba wakuu wa vyombo watafanya KAZI zao pale TU ratiba ya Mhe. Rais inapokuwa loose ila ikiwa tyt kama ya Mhe. Rais basi Kila Siku KAZI ofisini zitalala.
Ni yapi madhara au ipi faida ya kuambatana na Hawa viongozi? Mbona Mataifa yaliyoendelea hawana hizi tamaduni? Kama ni usalama je, wakiwa pamoja ndipo usalama unakuwa mkubwa? Lakini kama ni usalama anapokuwa nje haileti maana kwamba huko nje Kuna security KULIKO ndani ndio maana anakwenda bila Hawa wasaodizi wake kiusalama?