Kwanini Ratiba ya Rais ndani ya nchi ni Ratiba ya wakuu wa vyombo vya Ulinzi na usalama? Kwanini akiwa nje ya nchi yupo mwenyewe?

Analindwa popote na muda wowote, picha za kumuona mwenyewe zisikudanganye...

Ni kama vile unavyangalia movie mtu akiwa peke yake msituni anakimbizwa ila kiuhalisi kuna watu kiboa wapo nae pale behind the scene...
 
Wakati wa mkwere hata DG wa TISS hatukumjua haya yalianza wakati wa yule mshamba wa kisukuma!
Mungu fundi
 
Ulinzi kwa rais ni muhimu, aina ya ulinzi tangu enzi za magufuli ni mbwembwe, ushamba na matumizi mabovu ya pesa za umma.
 
Kumbuka anapokuwa nje anakuwa kakasimu madaraka kwa Makamu wa Raisi/Jaji Mkuu/ Spika so kazi lazima ziendelee huku home.
 
Ila kweli,nje ya nchi,simuonagi IGP,CDF wala nani,kule sijui huwa analindwaje wakati kule ana kura moja tu,ya balozi ambaye huwa kule.
 
Ila kweli,nje ya nchi,simuonagi IGP,CDF wala nani,kule sijui huwa analindwaje wakati kule ana kura moja tu,ya balozi ambaye huwa kule.
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€Woga Ndugu Zangu
 
Sababu ni wanatumbua Kodi yako watakavyo.

Wewe fanya biashara / kazi lipa Kodi, tozo karibu ya 20% -50% ya kipato chako, jasho lako.

Waachie wenyewe wajipangie jinsi ya kutumbua. Wajilipe posho, kununua V8, kujenga Ikulu mpya upigaji, ufisadi kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…