Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya.
Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi.
Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems.
Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au Hitach kwa wale wahenga wenzangu utagundua zinatoa sauti na mziki safi kuliko hizi Saboof na Home Theatres, enzi hizo tukiziita Double Decker zinazotumia Casset au CD.
Shida ni utalaam unapotea kwenye viwanda au siku hizi ni bora liende waingize maokoto?