Zipo Mkuu, hela yako tu, Kama unahitaji Muziki... tafuta Audio/Video Receivers hutajuta, muziki wake Una utulivu wa Hali ya juu Sana high quality sound ingawa Bei yake imechangamka Sana, zipo Denon, Yamaha, Sony, Grundig, Onkyo, JVC, Kenwood , pioneer, Klipsch n.k hizo ni sound proof hapa Tz hatuna jirani Kenya Zipo Bei kuanzia Ksh 49,999/= - Ksh186000/= Bei zake nyingi ni bila spika , unanunua kando kama HarmanKardon au ingia dreamaudio.co.ke na jijikenya utakuta vitu unapenda (Muziki) achana na Sony na Panasonic ya Malaysia utakuja kunishukuru.