Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha lakini nazungumzia ule mchujo wa sauti......hiyo Sonny Theatre ina misauti mikubwa lakini ile confort ya kusikiliza mziki ni tofauti na Sony ya mwaka 2000Radio siku hizi zinauzwa kulingana na uwezo wako au plan zako.
Radio za kichina tunazishukuru sana sababu kila mtu anapata mziki kwake..sisi tunaona quality nzuri lkn wengine wanaona mbaya cha ajabu wananunua hizo hizo.
Kama unaona seapeano huelew (150k) nunua sony ( 800k+)
Hilo ndio swali langu.......zamani redio unanunua laki moja tu hata hizi Used tunanunua Laki tatu lakini mziki wake unazidi Sony ya laki naneUnatumia saboofa za mchina unategemea nini!? Ukitaka mziki wa maana na bajeti inabidi ichangamke.
Ni kweli mimi natumia Sony ya zaman,sina mpango kabisa wa kubadilisha.Hilo ndio swali langu.......zamani redio unanunua laki moja tu hata hizi Used tunanunua Laki tatu lakini mziki wake unazidi Sony ya laki nane
upo sahihi sana mzee mwenzanguHahaha lakini nazungumzia ule mchujo wa sauti......hiyo Sonny Theatre ina misauti mikubwa lakini ile confort ya kusikiliza mziki ni tofauti na Sony ya mwaka 2000
Una akili sana!!Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya.
Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi.
Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems.
Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au Hitach kwa wale wahenga wenzangu utagundua zinatoa sauti na mziki safi kuliko hizi Saboof na Home Theatres, enzi hizo tukiziita Double Decker zinazotumia Casset au CD.
Shida ni utalaam unapotea kwenye viwanda au siku hizi ni bora liende waingize maokoto?
Bora maokoto!Haya maendeleo ya Sayansi na Teknolojia sometime yananichanganya.
Ukuaji wa teknolojia unatarajiwa kukuwa na viwango bora vya bidhaa na uimara zaidi.
Hali imekuwa tofauti kabisa kwenye idara ya music sounds and systems.
Yaani ukienda dukani ukapata Redio yako ya Sony au Rising ya zamani au Hitach kwa wale wahenga wenzangu utagundua zinatoa sauti na mziki safi kuliko hizi Saboof na Home Theatres, enzi hizo tukiziita Double Decker zinazotumia Casset au CD.
Shida ni utalaam unapotea kwenye viwanda au siku hizi ni bora liende waingize maokoto?
HahahaBora maokoto!
Yaani mimi mwenyewe napata tabu sana kununua Redio za kileo eti ili upate nzuri lazima ununue kuanzi Milioni na zaidiUna akili sana!!
Technology ya Natinal Panasonic, Sharp, Hitachi, Aiwa, Sanyo, Sony, ilikuwa ni Hi-Fi ilikuwa na sauti tuliku isiyoumiza masikio hata ufungulie high volume, ila siku hizi mateso tupu, kuna mdau humu aliwahi kuelezea teknolojia ya High Fidelity nilimwelewa vizuri sana
Kaka Umenikumbusha National Panasonic ikiwa na spika mbili pembeni za kubandika na kubandua😆😆Una akili sana!!
Technology ya Natinal Panasonic, Sharp, Hitachi, Aiwa, Sanyo, Sony, ilikuwa ni Hi-Fi ilikuwa na sauti tuliku isiyoumiza masikio hata ufungulie high volume, ila siku hizi mateso tupu, kuna mdau humu aliwahi kuelezea teknolojia ya High Fidelity nilimwelewa vizuri sana
Detachable speakersKaka Umenikumbusha National Panasonic ikiwa na spika mbili pembeni za kubandika na kubandua😆😆
🤣Yaani mimi mwenyewe napata tabu sana kununua Redio za kileo eti ili upate nzuri lazima ununue kuanzi Milioni na zaidi
Kuna mtu mmoja ni maarufu hivi sasa alizaliwa kutokana na radio hii (National Panasonic Memory Q)Sasa mkuu hiyo used ya laki 3 unadhan wakati inatoka iliuzwa bei gan, una kwa value ya sasa itakuwa bei gani?
Nani huyo.😆😆Kuna mtu mmoja ni maarufu hivi sasa alizaliwa kutokana na radio hii (National Panasonic Memory Q)
Jamaa alikwenda Kagera vitani mwaka 1978, akarudi na hii redio👇, binti mmoja akajipenyeza kwenda kucheza muziki kwake na siku hiyohiyo akanasa mimba na kupelekea kuzaliwa huyo mtu maarufu kwenye chama chetu
View attachment 2781608