Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
Jamaa umenikumbusha mbali na betry za kuanika juaniDetachable speakers
View attachment 2781599 View attachment 2781600 View attachment 2781601
Kwasababu ya uelewa mdogo ilikuwa unamkuta mtu ana record kwenye cassete anainua antennae hadi mwisho akiamini inasaidia kuomgeza ufanisi🤣
🤣😅Jamaa umenikumbusha mbali na betry za kuanika juani
🤣😅Nani huyo.😆😆
Hehee kwani ni Moderator yule wa tcrai🤣😅
Sithubutu kumtaja asije akaifungia maudhui yangu bure!!
Sio kwa ubaya ila dah nimecheka kifala yaani🤣Niwaletee redio nzuri toka dubai mnipe na mlima kilimanjaro?
Nilijua chama tu kumbe hadi mziki una wenyewe, na mwenyewe ndio yeye sasa😂Kuna mtu mmoja ni maarufu hivi sasa alizaliwa kutokana na radio hii (National Panasonic Memory Q)
Jamaa alikwenda Kagera vitani mwaka 1978, akarudi na hii redio👇, binti mmoja akajipenyeza kwenda kucheza muziki kwake na siku hiyohiyo akanasa mimba na kupelekea kuzaliwa huyo mtu maarufu kwenye chama chetu
View attachment 2781608
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niwaletee redio nzuri toka dubai mnipe na mlima kilimanjaro?
Jibuni fasta nizileteSio kwa ubaya ila dah nimecheka kifala yaani🤣
Mkuu, wapi nitapata sound bar za sony nzuri? Hasa kwa Dar es salaam?Radio siku hizi zinauzwa kulingana na uwezo wako au plan zako.
Radio za kichina tunazishukuru sana sababu kila mtu anapata mziki kwake..sisi tunaona quality nzuri lkn wengine wanaona mbaya cha ajabu wananunua hizo hizo.
Kama unaona seapeano huelew (150k) nunua sony ( 800k+)
Kabisa mkuu, nilikuwa na Sony 3CD miaka ya 97, ukipiga hadi spika inatembea, kick yake simchezo na imetulia sio ule unakoroma na inachuja kinanda, mim ni mpenzi wa music system ila toka imekufa sijawahi kutana na redio yenye ule mziki mpaka leo, hizo wanazouza 2m Sasa hivi hamna kitu makelele tuMchina alishawaroga unanunuaje redio, TV and Gaming device ambayo haijawa certified na DOLBY. Sikiliza mziki unaotoka kwenye AIWA, KENWOOD au Sony za zamani halafu fananisha na takataka za Singsung, Kodtec na upuuzi mwingine mwingi[emoji16]
Otikiii 🤪 ni nani huyoKuna mtu mmoja ni maarufu hivi sasa alizaliwa kutokana na radio hii (National Panasonic Memory Q)
Jamaa alikwenda Kagera vitani mwaka 1978, akarudi na hii redio👇, binti mmoja akajipenyeza kwenda kucheza muziki kwake na siku hiyohiyo akanasa mimba na kupelekea kuzaliwa huyo mtu maarufu kwenye chama chetu
View attachment 2781608
Kabisa mkuu, nilikuwa na Sony 3CD miaka ya 97, ukipiga hadi spika inatembea, kick yake simchezo na imetulia sio ule unakoroma na inachuja kinanda, mim ni mpenzi wa music system ila toka imekufa sijawahi kutana na redio yenye ule mziki mpaka leo, hizo wanazouza 2m Sasa hivi hamna kitu makelele tu
Ukiwa njiani na laki 8 yako kwenda mjini kununua SONY ...unapokea sms hizi 1."Baby nimemiss kuku wa kuchoma"Radio siku hizi zinauzwa kulingana na uwezo wako au plan zako.
Radio za kichina tunazishukuru sana sababu kila mtu anapata mziki kwake..sisi tunaona quality nzuri lkn wengine wanaona mbaya cha ajabu wananunua hizo hizo.
Kama unaona seapeano huelew (150k) nunua sony ( 800k+)
Mkuu sijui...nenda madukani ukaulizieMkuu, wapi nitapata sound bar za sony nzuri? Hasa kwa Dar es salaam?
Unaweza ukawa upo sahihi,watu wameathirika na Noise pollution,siku hizi makelele kila kona,so hata huo mziki unaweza kuona kama hautoi sound quality nzuri coz usikivu wako umesha athirika.Masikio yetu ndiyo yamekuwa na tatizo la usikivu
Kuna ile unafunga betri nyingi zaidi ya uwezo wa Radio kwa kuziunganisha kisha unafunga na karatasi au zile bomba za karatasi hala unaunganisha na waya kwenda kwenye Radio yako,tumetoka mbali sana.Jamaa umenikumbusha mbali na betry za kuanika juani
Kabisa yaanUnaweza ukawa upo sahihi,watu wameathirika na Noise pollution,siku hizi makelele kila kona,so hata huo mziki unaweza kuona kama hautoi sound quality nzuri coz usikivu wako umesha athirika.