Kwanini refa alisimamisha shambulizi la Simba?

Hakushika mpira, sema refa amehadaika tuuuu,
 
Kanishangaza sana kipa kacheza mpira unamkuta mshambuliaji eti offside.......ile mechi nyuma ya pazia ina mengi sana
Muwe mnasoma kanuni za mpira zinasemaje hakuonyesha offside alionyesha goal kick, kipindi Bocco anapiga mpira hakuonyesha kibendera , jitahidi kua una angalia mpira ukiwa sober
 
Hata kwa Yanga badala ya kutoa advantage kwa Ntibazokiza alizingua wakati tunapiga counter
 
Hilo lipo wazi kabisa ,huwezi kupuliza tu filimbi kwenye move kama ile bila kosa ,hata fair play huwa hadi mchezaji mwenye mpira aamue kuutoa
basi kumbe jibu unalo ulituuliza nini sasa kama sio uzwazwa wako
 
Boko si wa kiwango cha simba kwa sasa asisubiri aanze kutukanwa bure aondoke tu mapema
 
Refa anaruhusiw kusimamisha mpira kama mchezaji kaumia kichwan tu mengine ni ujinga na uwezo mdogo
 
Hilo lipo wazi kabisa ,huwezi kupuliza tu filimbi kwenye move kama ile bila kosa ,hata fair play huwa hadi mchezaji mwenye mpira aamue kuutoa
Mtu alikua na head injury,kwa Sheria za Sasa head injury inasimamisha mchezo hapohapo,kosa la refa ni kusimamisha move ya yanga ambapo mayele alikua ndani ya 18 na nafasi ya kufunga,akaweka faulo iliyotokea nyuma ya msitari wa kati
 
Ingekuwa ni upande wa simba ungeskia refa wa mchongo anaibeba simba
Mchezaji wa yanga aliumia kichwa,na zaidi kapombe alikua kalazimisha kwenda pembeni ambalo Wala haikua hatari Tena,lakini ya mayele alikua ktk angle nzuri na refa akapuliza faulo iliyotokea nyuma ya msitari wa kati
 
Nani aliumia kichwa?

Huyo mchezaji aliyeumia kichwa alichezewa foul na nani?
 
Mtu alikua na head injury,kwa Sheria za Sasa head injury inasimamisha mchezo hapohapo,kosa la refa ni kusimamisha move ya yanga ambapo mayele alikua ndani ya 18 na nafasi ya kufunga,akaweka faulo iliyotokea nyuma ya msitari wa kati
nani akipata head injury pale?
 
Mechi hii ilikuwa inafatiliwa na waandishi wa habari toka zambia, kenya, uganda, congo, south africa na ghana kwa madudu aliyofanya refa wamepata jibu kwanini timu pekee kutoka tanzania inayofanya vizuri kimataifa ni simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…