Hakushika mpira, sema refa amehadaika tuuuu,Benard Morrison aliushika mpira kabla ya kutoa pasi kwa Kapombe na refa alishapuliza filimbi kabla mpira aujafika kwa Kapombe na wachezaji wote walisikia filimbi. Ndio maana Morrison alikaa chini na kupigapiga nyasi kuonyesha hakushika mpira. Baati nzuri refa alikua karibu na aliliona tukio kwa uhakika.
Kama angetaka kuua move ya Simba angefanya hivyo wakati Bangala amefanyiwa Faul na akapeta ikaleta ilo shambulizi alilo shika Morrison.