Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Move ilizimwa kwa kupuliza filimbi wakati morrison anatuliza mpira kifulani. Refa alionesha ishara kuwa Morrison kaushika mpira. Filimbi ilitangulia kabla hata mpira haukumfikia KapombeKuna kipindi Simba walishambulia Morison akampasia Kapombe na ilikuwa ndani ya 18 ,ilikuwa move ya goli. Naomba kufahamu kosa gani ilifanyika ,Tuache ile shuti ya Kanote halafu akapuliza offside.
Ila hata hivo hamna kelele baada ya mechiView attachment 2040820
lakini kwenye replay kwa namna yoyote hamna sehemu inaonyesha Morison kashika mpiraMove ilizimwa kwa kupuliza filimbi wakati morrison anatuliza mpira kifulani. Refa alionesha ishara kuwa Morrison kaushika mpira. Filimbi ilitangulia kabla hata mpira haukumfikia Kapombe
kwakweli bocco hastahili kuwepo kwenye kikosi,kulenga goli ni ishu halafu kupoteza mipira na fouls zisizo za maanaWanasema eti Morrison aliunawa!Ila ukiachana na yote,sikuona sababu ya Kibu kuendelea kuwepo uwanjani muda wote Huo wakati game ilimkataa!
Tukija Kwa Bocco ni vema tu akatafute ustaarabu mwingine timu nyingine,hata isingepigwa filimbi ya offside,tayari alishakosa goli Tena rebound amebaki na kipa!Derby ya kariakoo,dk ya 87 ubaoni 0-0 unakosa goli wakati kipa alishaanguka!
Ni wakati wa Tshabalala kupewa rasmi ukapteni mkuu!
Refa kawafanyia wepesi watopolo maana ileKapombe alikuwa anaweza kufungaHata Mimi sikuona pia ule ulikuwa uhuni wa refa
Boko akubali tu kwamba jua limezama sema huyu Kibu naye awe anatokea benchi tu nguvu zimekuwa nyingi kupita akiliWanasema eti Morrison aliunawa!Ila ukiachana na yote,sikuona sababu ya Kibu kuendelea kuwepo uwanjani muda wote Huo wakati game ilimkataa!
Tukija Kwa Bocco ni vema tu akatafute ustaarabu mwingine timu nyingine,hata isingepigwa filimbi ya offside,tayari alishakosa goli Tena rebound amebaki na kipa!Derby ya kariakoo,dk ya 87 ubaoni 0-0 unakosa goli wakati kipa alishaanguka!
Ni wakati wa Tshabalala kupewa rasmi ukapteni mkuu!
Bora Bocco... Kuna Makambo... Hakugusa mpira kabisakwakweli bocco hastahili kuwepo kwenye kikosi,kulenga goli ni ishu halafu kupoteza mipira na fouls zisizo za maana
heri walimwacha Wawa maana angekutana na Mayele kungekuwa na madhara ,leo mabeki walitulia ,naweza kusema mwalimu kafanikiwa kwenye ukuta wa ulinziYanga wamepoa kimyaaa,,si mlikuwa mnasema mna kikosi kizur?maana nmeona hata yule auch alikuwa amepakatwa tu na kanut hahahahaa