Kwanini ROMBO ipo TANZANIA badala ya kuwa KENYA?

Kwanini ROMBO ipo TANZANIA badala ya kuwa KENYA?

Bora umesema wewe nilidhani huyu ni Mkenya au Mrombo aliyekulia Mombasa maana hata wazee wa Rombo wengi mlima umewaneemesha sana kibiashara watalii wanao panda wana fanyabiasha kubwa sana Rombo ambayo haipo kwenye maeneo mengine.

msavi ni msavi tiki! Nyeloa hata msanya! Unawasemea wazee wa rombo huku kwakuwa hawakujui? Nenda kawakusanye siku moja huko wanakokunywa dadii uvavie modwe uu!
 
msavi ni msavi tiki! Nyeloa hata msanya! Unawasemea wazee wa rombo huku kwakuwa hawakujui? Nenda kawakusanye siku moja huko wanakokunywa dadii uvavie modwe uu!

Aha ha ha samahani Mkuu kumbe hutaki tuchangie hoja inayopingana nawe!? Kwa heri
 
Aha ha ha samahani Mkuu kumbe hutaki tuchangie hoja inayopingana nawe!? Kwa heri

hahahaha...nimekukamata pabaya ndugu yangu! Hata lugha huijui, unajifanya kuwasemea watu ambao huishi nao! Poleeee....
 
Mi napita tu nafika ha kiboro kwa idosi kupata kinana vuguvugu akili ikae sawa kwanza!
 
Unawezaje kutumia Masaa 4 kwenda umbali wa km 140 kwenye Barabara nzuri? Hayo ni makadirio ya wapi? Kama Dar - Morogoro ni Kilometa ~190 na hakuna mtu anayetumia masaa 4 iweje hapo km 140 utumie masaa 4? Kuna kitu hakipo sawa!

Hakusema kuwa kuna umbali wa KM 140, ila alimaanisha kuwa ukiwa unaendesha gari kwa mwendo wa kilomita 140 kwa saa ni wastani wa saa 4.
 
kutokuwa na akili ni ujinga kumbe, au hujawahi kuendesha hata gari? ukiendesha gari spidi ya 140(yaani seedometer kwenye dashboard yako isome 140) utatumia masaa manne kufika huko ngara.

Unawezaje kutumia Masaa 4 kwenda umbali wa km 140 kwenye Barabara nzuri? Hayo ni makadirio ya wapi? Kama Dar - Morogoro ni Kilometa ~190 na hakuna mtu anayetumia masaa 4 iweje hapo km 140 utumie masaa 4? Kuna kitu hakipo sawa!
 
anamtindio wa ubongo.pia unaruhusiwa kuhama wewe na ndugu zako wote mwende kenya we mwenye akili chafu

wewe dubu kweli! Hebu soma hata kidogo uelewe kilichoandikwa.
 
Wabongo wengine kuwaelewa lazina u split atoms kama Large Hadron Collider kwanza. Take that from Kiranga no less.
Mtu anakuandikia kitu kuhusu historia halafu hata timeline haweki, hakuna hata alipoandika mwaka, mwezi wala tarehe.
 
unaujua mji unaoitwa rombo wewe uliopo kenya? Nenda pale linganisha na upande wa tz. Watz wengi wa mipakani huolewa kenya ilihali wakenya wanaoolewa tz ni kama hamna coz wanaolewa siku chache wanakimbia shida. Chezea KIBUNG'AA!

kibung'aa maruveni mekuu. kaki walemua na wandumii vaa ngikuarie? uishi ndarara shoo mya?
 
Nashukuru mbunge wangu wa rombo kwa kuuliza swali kuhusu tatizo la mawasiliano rombo. Jibu la serikali linaonyesha kuwa, "hakuna mfuatiliaji ili tatizo hilo liishe"
mh. Selasini, ukishindwa kulimaliza ukatafute jimbo lingine mwaka ujao.
 
Kwa mustakabadhi huo siku siyo nyingi atajitokeza mangi mwingine ashinikize watu wa kule kupiga kura ya kutambua Rombo ni eneo la kenya kama ilivyofanyika Crinnes huko Urusi na Ukraine maana ukiangalia mpakani mwa kenya na rombo ni vitu viwili tofauti kabisa wakati kipindi hicho cha mababu kulikuwa sawa.

Ukiangalia Custum ya Tarakea upande wa tz na upande wa kenya, nenda mji wa Taveta, hadi kuna uwanja wa ndege! Lakini rombo iliyopo tz imesahaulika sana kimiundombinu, huduma za jamii katika mawasiliano ya vyombo vya habari n.k

WITO WANGU SERIKALI IONE HILO MAPEMA.
hata hilo soko la kisasa linaloimbwa kila siku litajengwa Mwika, bado ni kitu kidogo sana japo ni soko la SIASA. Kwanini kusijengwe uwanja wa ndege ili watalii watue kule moja kwa moja? Hatuoni watatua Taveta na kuendelea kuikosesha Tanzania mapato? Serikali yangu, mangi anakaribia kurudi Rombo!

hata vinywaji kama bia , vyakula kama mafuta, sukari etc huduma nyingi zinatokea NAIROBI serikali ifanye hima kuangalia hili kwamanufaa ya taifa letu na kuacha mawazo potofu ya ukabila, wachaga wengi kuanzia mkuu hadi kamwanga wanaitajirisha KENYA kwani wanajishughulisha zaidi na biashara huko nairobi kuliko Moshi na Dar.
 
Hizi ni simulizi za marehemu babu yangu (Mkiwa), ambae alishirikiana sana na mangi (Yohana) baba yake kama sio babu yake Justin Salakana, zamani hizo robo tatu ya Rombo yaani kutoka mto Ugwasi hadi Tarakea lilikuwa eneo la Kenya.

Babu yangu na mangi Yohana walipewa kazi ya kwenda kutoa taarifa kwa mangi Mareale kule Mwika ikitokea wenyeji wa Kenya wameingia na kuanzisha makazi eneo hilo baada ya kuchukuliwa na Tanzania.

Kwa uaminifu wao, walilinda ile mipaka kwa maana kwamba, wakenya walikuwa wakiingia maeneo hayo ya Rombo na kuwafukuza watanzania, kuwachomea nyumba zao na hata kuwaua maana walikuwa na silaha kali za jadi, hivyo ilikuwa ikiwalazimu watz hao kukimbilia misituni.

Babu yangu na mangi Yohana wakiona hayo walikuwa wanafunga safari kwa miguu kutoka huko Useri na Tarakea hadi Mwika kwa Mangi Mareale kutoa taarifa maana wakati huo hakukuwa na simu wala magari, wakishafikisha ujumbe huo, Mareale anatoa taarifa serikalini pale Moshi, jeshi linaenda kuwafukuza hao Wakenya wanarudi kwao.

Huo utaratibu uliendelea hadi uvamizi huo ukaisha na Rombo kubaki Tz na wakati huo watu wakawa wanaongezeka hadi kukajaa watu na kuwa eneo halali la upande wa Tz hadi leo.

Suala la changamoto ni kuwa; tangu wakati huo hadi leo wale watu wanaoishi eneo hilo maana lengo lilikuwa mlima Kilimanjaro ulio mrefu kuliko milima yote barani Afrika uwepo Tanzania lakini wale wanaoishi chini ya ule mlima hawanufaiki kikamilifu na mlima huo tangu enzi hizo za mababu, baba, watoto, wajukuu hadi sasa kuna vitukuu!

Pesa inavunwa pale inapelekwa DSM, ile kidogo sana inayobakizwa tangu enzi hizo haionekani hadi leo hii ule mlima haujanufaisha wakazi wa kule kimaisha.

Eneo kubwa la Rombo hasa lile linalopakana na Kenya, wakazi wa kule ni watanzania ila ni kama wanaishi Kenya! Kwanini? Radio, tv zinazoshika kule ni za Kenya, hata mitandao ya simu access kubwa ni ya Kenya kwani ukifika kule unatumia mfano mtandao wa vodacom, display inakuwa safaricom n.k.

Kwahiyo wanazielewa habari za Kenya kuliko Tanzania. Mambo yanayoendelea Tanzania hadi wayasikie idhaa ya kiswahili ya Kenya (KBC).

Kwa mustakabadhi huo siku siyo nyingi atajitokeza mangi mwingine ashinikize watu wa kule kupiga kura ya kutambua Rombo ni eneo la kenya kama ilivyofanyika Crinnes huko Urusi na Ukraine maana ukiangalia mpakani mwa kenya na rombo ni vitu viwili tofauti kabisa wakati kipindi hicho cha mababu kulikuwa sawa.

Ukiangalia Custum ya Tarakea upande wa tz na upande wa kenya, nenda mji wa Taveta, hadi kuna uwanja wa ndege! Lakini rombo iliyopo tz imesahaulika sana kimiundombinu, huduma za jamii katika mawasiliano ya vyombo vya habari n.k

WITO WANGU SERIKALI IONE HILO MAPEMA.
hata hilo soko la kisasa linaloimbwa kila siku litajengwa Mwika, bado ni kitu kidogo sana japo ni soko la SIASA. Kwanini kusijengwe uwanja wa ndege ili watalii watue kule moja kwa moja? Hatuoni watatua Taveta na kuendelea kuikosesha Tanzania mapato? Serikali yangu, mangi anakaribia kurudi Rombo!
uwanja wa ndege huo wa Taveta ndo upi mi Taveta ninayojua imechoka haina barabara ya lami sasa sijui unaongelea Taveta acha unafki Mrombo wewe! Rombo ipo kwenye hali nzuri kuliko Taveta! evidence nakupa

Leta yako ya uwanja wa ndege!
 
Last edited by a moderator:

19/5/2013

‘Worst road in Kenya' hurts trade, tourism

The Taveta-Voi road - a key link for trade and commerce between Kenya and Tanzania - is one of the most potholed in the country despite being a key economic artery
dn+coast+barabara1305c+px.jpg

PHOTO | GIDEON MAUNDU A bus that was involved in an accident due to the poor state of the Mwatate-Taveta Road in April. Economic activity is grinding to a halt in the area. NATION MEDIA GROUP

In Summary

  • Traders and farmers lose millions of shillings every week because agricultural produce gets spoilt in the market and on farms because of the poor state of the road
  • Last month, AfDB approved about Sh19.5 billion for the 157.5-kilometre road project from Mwatate to Taveta in Kenya while the road from Holili to Arusha on the Tanzanian side was allocated Sh9.5 billion

ANTHONY KITIMO akitimo@ke.nationmedia.com

The Taveta-Voi road - a key link for trade and commerce between Kenya and Tanzania - is one of the most potholed in the country despite being a key economic artery.

Some of the sections were washed away by recent rains, while others have numerous diversions that make driving on it a nightmare for motorists, traders and tourists visiting the Tsavo West National Park through the Mwatate road.

Failure by the government to rehabilitate the 80-kilometre road has also stunted development in the area. Taita Taveta governor John Mruttu said the county's leadership might not be able to deliver on the promises made to voters if the road is not rehabilitated.

The once famous Taveta market is a pale shadow of its glorious past largely due to the sorry state of the road. The market was once a key source of horticultural products and the bananas consumed in the coast region.

Economic activities

Traders and farmers lose millions of shillings every week because agricultural produce gets spoilt in the market and on farms because of the poor state of the road.

In the 1980s, the market was also served by a railway line, which has since been neglected, leading to disuse. As a result of the slow-down in economic activities, the standards of living in the area have declined.

Mr George Kariuki, a trader, said the number of buyers had declined drastically and the market is now frequented by Tanzanians who prefer manufactured goods.

"In the past, most of the farm produce used to be supplied to various towns in the country, but currently it is getting spoilt in the market and in farms," he said.

Another trader, Mr Elijah Mnjala, said sales have been on a downward trend with less than five buses from Mombasa and other regions ferrying people on market days compared to more than 20 a day when the road was usable.

"Currently very few business people are willing to use their trucks and buses to ferry goods and people to and from Taveta because of the persistent breakdowns which raise the costs of operation," he said.

Taita-Taveta County Chamber of Commerce chairperson Pascal Mtula said the area has high potential, but it cannot develop due to poor infrastructure.
"Towns such as Mwakitau, Mwatate and Bura have remained stagnant," Mr Mtula said.

According to statistics from the Kenya Export Promotion Council (EPC), the volume and value of Kenya's exports to Tanzania form a significant portion of the country's total exports.

Tanzania was ranked the third largest market for Kenyan products in 2011. The country bought goods worth $488 million from Kenya, up from $390 million in 2010.

"The number of tourists visiting the area is small because of infrastructure. Suppliers of various goods to the hotels have also increased their prices due to persistent breakdown of their trucks while ferrying the products," he said. Such costs reduce the profit margins of the tourist establishments.

However, there seems to be light at the end of the dark tunnel. The East African Community - through the African Development Bank (AfDB) - has embarked on a feasibility study on how to rehabilitate the road.

Last month, AfDB approved about Sh19.5 billion for the 157.5-kilometre road project from Mwatate to Taveta in Kenya while the road from Holili to Arusha on the Tanzanian side was allocated Sh9.5 billion.

The loan will finance up to 89.1 per cent of the total project cost, while the beneficiary states will contribute the rest.

Construction should be completed in four-to-five years according to communication from the financiers.

http://www.nation.co.ke/news/Is-this-the-worst-road-in-Kenya/-/1056/1857412/-/view/printVersion/-/9iml20/-/index.html

Radio voice of gospel ipo pia Rombo

Leta yako ya uwanja wa ndege!
 
Last edited by a moderator:
msavi ni msavi tiki! Nyeloa hata msanya! Unawasemea wazee wa rombo huku kwakuwa hawakujui? Nenda kawakusanye siku moja huko wanakokunywa dadii uvavie modwe uu!

hahahah.....!!! Umenikumbusha dadii...!!!
 
ni ukweli usiopingika rombo na mlima kilimanjaro ilikuwa sehemu ya kenya kama mombasa ilivyokuwa sehemu ya tanzania na kunakipindi kenyata akiwa rais alikuja kuidai mw Nyere akamwambia haina tatizo ila arudishe mombasa ambayo ilikuwa sehemu ya Tanzania jamaa alipopiga mahesabu ya kukosa bandari akaamua kuishia mitini.
sio kweli kuna uwanja wa ndege wa kisasa taveta ila wakenya wana mpango wa kujenga uwanja huo kikubwa ni kupata watalii wengi watakaokuja mlima kilimanjaro serikali inachoweza kufanya ni kuimarisha uwanja wa kia ili ndege kubwa zije moja kwa moja kutoka ulaya
 
uwanja wa ndege huo wa Taveta ndo upi mi Taveta ninayojua imechoka haina barabara ya lami sasa sijui unaongelea Taveta acha unafki Mrombo wewe! Rombo ipo kwenye hali nzuri kuliko Taveta! evidence nakupa

Leta yako ya uwanja wa ndege!

inawezekana ukilinganisha kwa coverage ila kimji taveta town iko juu,tukirudi kwenye topic rombo ipo ya Tanzania na Kenya pia ukivuka border upande wa tarakea unaingia elasit then rombo ya Kenya kama ilivo kwa ziwa chala lililopo Tanzania na Kenya hivo ni mpangilio wa mipaka tu na ufafanuzi ndio umefanya uone na kufikiri kama mzee wako,kila nchi ina chake per mpaka
 
Last edited by a moderator:
Wewe Ni Muongo! Mimi ingawaje sijazaliwa huko lkn nimekulia huko, nimesoma Shule ya Msingi huko hivyo nalifahamu hilo eneo vizuri sana,kwanza hayo unayoyasema ni ndio yanafanyika kwa Upande wa Kenya, Ukienda Loitoktok (Kenya) wakazi wao wote wanakuja shopping kwetu Tarakea, kwanza wengi wao hata wanajisikia Watz kuliko Wakenya kwa kuwa Serikali yao haiwajali kabisa, ukienda Taveta nako hivyo hivyo ukifika huko Wataita wengi wanajifanya Watz na wanaona ufahari kuwa Watz kwa kuwa Serikali yao (Kenya) haina Mpango nao, hilo swala la kuangalia TV au sijui kusikiliza Redio sio Ishu kwa maana wako Mpakani na Nairobi ni karibu zaidi kwao kuliko ilivyo Dar!

Hivyo usidanganye watu hapa, Rombo naijua Vizuri sana tu!
uongo kabisa. shule watz pale mpakani ni kenya-eti wakenya wajihisi watz. hadithi za babu hizo.......

<span style="font-size: large;">
 
Last edited by a moderator:
inawezekana ukilinganisha kwa coverage ila kimji taveta town iko juu,tukirudi kwenye topic rombo ipo ya Tanzania na Kenya pia ukivuka border upande wa tarakea unaingia elasit then rombo ya Kenya kama ilivo kwa ziwa chala lililopo Tanzania na Kenya hivo ni mpangilio wa mipaka tu na ufafanuzi ndio umefanya uone na kufikiri kama mzee wako,kila nchi ina chake per mpaka
leta evidence! na kati ya Mkuu na Tarakea ziko mbioni kuwa mji! Warombo msitake mpaka mjengewe mmepewa barabara halafu mmepimiwa viwanja mnataka serikali ije kuwajengea pia? wanaojenga lodges binafsi mbona hawalalamiki? wameona fursa na wewe ona pia!

wundanyi-town.jpg
Haya ubora wake uko wapi? Taita Taveta county town called wundanyi! Town hii ilitakiwa ifananishwe na Moshi town

Na hii ndio website yao ya county http://ttpf.files.wordpress.com/2010/06/wundanyi-town.jpg wanatumia blogs!

Website ya Rombo district http://www.rombodc.go.tz/
 
Back
Top Bottom