Kwanini ROMBO ipo TANZANIA badala ya kuwa KENYA?

Kwanini ROMBO ipo TANZANIA badala ya kuwa KENYA?

uongo kabisa. shule watz pale mpakani ni kenya-eti wakenya wajihisi watz. hadithi za babu hizo.......

<span style="font-size: large;">

angalia hiyo shule ilivyo mbovu halafu fananisha na hizi

cdnk-308.jpg


Holili+Sec+Rombo.JPG


Rombo District - a Typical Example of Superb BRN Execution

By Deo Mushi

ONE of the benefits that a journalist enjoys compared to other professions is the opportunity to travel widely both in and out of the country.

I can boast to have seen a lot in the last 22 years that I have been practising journalism. I must admit that of all the places I have visited to cover news or feature stories related to socio-economic development in this country, there is no place that has impressed me like Rombo District in Kilimanjaro Region.


Compared to other places in the country, this is the only district that has made sure that education and health sectors are made a priority.

At this particular time when the government is trying to implement Big Results Now (BRN) initiative, I think Rombo District should be taken as an ideal example, simply because it has improved the social economic lives of people living in that particular area. BRN is part of government's effort to transform the country from a low to a middle-income economy.


This is a comprehensive system of implementation that focuses on six priority areas of the economy like energy and natural gas, agriculture, water, education, transport and the mobilisation of resources.


People need quality education and good health to implement BRN and I shall show how Rombo is achieving that. Rombo District successfully campaigned for the Community Health Fund (CHF), thus witnessing a dramatic change in health services.


Many people can easily see doctors when they fall sick. People in Rombo with their CHF membership cards are easily attended to at
Huruma Hospital, which is the District Designated Hospital (DDH) and Ngoyoni Hospital run by the Catholic Diocese of Moshi.

Health centres like Tarakea, Usseri Mashati, Mengwe and Keni also accept CHF cards. Rombo has become an exemplary case as many of its residents have joined the Fund and are now enjoying better medical services compared to other districts in the country.

allAfrica.com: Tanzania: Rombo District - a Typical Example of Superb BRN Execution


BTW

Taveta Police station
taveta-police-station.png


page_aboutus_clip_image002.jpg

Huruma Hospital Rombo

Code:
[COLOR=#000000][FONT=Times New Roman]The Hospital Catchment area is the entire of Rombo District and serves as referral for al other health facilities in the District namely 43 Dispensaries 4 Rural Health centres (RHC) and one Hospital (V.A).  There are 7 Diocesan dispensaries and one Voluntary Agency Hospital which are under the hospital supervision.  Patients further are referred to Kilimanjaro Christian Medical Centre (K.C.MC.) due to geographical location the hospital offers services to patients from neighboring country Kenya especially from Rombo Masai, Chumvini, Njukini, Taveta, Loitoktoki as well as patient from Moshi Rural and Monduli District.  The bed capacity of the Hospital is 300 beds, these are distributed in different wards as follows:[/FONT][/COLOR]

Huruma Hospital

Maternity 43 beds

Surgical/Medical ward 74 beds

Male/Female Medical 52 beds

Mwalimu J.K.Nyerere ward 56 beds

Private ward 23 beds

Vitus Hostel 52 beds

TOTAL 300 beds

Taveta District Hospital

DSC04788.JPG


Status: Operational
Number of Beds: 100
Number of Cots: 8

Services:
| Antiretroviral Therapy
| Curative In-patient Services
| Family Planning
| HIV Counselling and Testing
| Immunization
http://www.ehealth.or.ke/facilities/facility.aspx?fas=11840
 
Last edited by a moderator:
kwanza Taveta ilikuwa part of Tanganyika (Deutsch-Ostafrika) according to map by Germans who colonized Tanganyika first! Nyerere kiujirani mwema akakubali kusogeza mpaka ili Kenya nao wapate maji ya Lake Chala hili linajulikana vyema tena lilifanyika miaka ya 60

Meyers_b14_s0300a.jpg


waltham
 
Wewe Ni Muongo! Mimi ingawaje sijazaliwa huko lkn nimekulia huko, nimesoma Shule ya Msingi huko hivyo nalifahamu hilo eneo vizuri sana,kwanza hayo unayoyasema ni ndio yanafanyika kwa Upande wa Kenya, Ukienda Loitoktok (Kenya) wakazi wao wote wanakuja shopping kwetu Tarakea, kwanza wengi wao hata wanajisikia Watz kuliko Wakenya kwa kuwa Serikali yao haiwajali kabisa, ukienda Taveta nako hivyo hivyo ukifika huko Wataita wengi wanajifanya Watz na wanaona ufahari kuwa Watz kwa kuwa Serikali yao (Kenya) haina Mpango nao, hilo swala la kuangalia TV au sijui kusikiliza Redio sio Ishu kwa maana wako Mpakani na Nairobi ni karibu zaidi kwao kuliko ilivyo Dar!

Hivyo usidanganye watu hapa, Rombo naijua Vizuri sana tu!

Ewe Kijakazi mwana wa Bwana Kazi.
Nipe Kazi nikuvike vazi.
Nikujengee makazi, yalosheheni makavazi.
Thamani ya mtu ni kazi hata ya kuangua Nazi.
Bazazi ni mtu duni, Hasa zama hizi.
Maarifa yahitaji maandalizi, hata upishi wa maandazi.
Busara na hekima Nazo hizi, hustawi kama mbaazi.
 
Unawezaje kutumia Masaa 4 kwenda umbali wa km 140 kwenye Barabara nzuri? Hayo ni makadirio ya wapi? Kama Dar - Morogoro ni Kilometa ~190 na hakuna mtu anayetumia masaa 4 iweje hapo km 140 utumie masaa 4? Kuna kitu hakipo sawa!

Kutoka kahama hadi ngara mjuni ni km 314
 
Hyu mleta ni muongo na mwenda wazimu,kama ni hvy kwnn wakenya wanasumbuana na uhamiaji kila kuwarejesha kwao,kwny zoezi la BVR walikuwa wanafoji kuandkwa ili waesabike watz,kila kitu wanategemea tz,mochwari,matibabu,chakula,maji safi hadi kushangaa lami nzuri ya tz,mie nipo mashati.
 
Hyu mleta ni muongo na mwenda wazimu,kama ni hvy kwnn wakenya wanasumbuana na uhamiaji kila kuwarejesha kwao,kwny zoezi la BVR walikuwa wanafoji kuandkwa ili waesabike watz,kila kitu wanategemea tz,mochwari,matibabu,chakula,maji safi hadi kushangaa lami nzuri ya tz,mie nipo mashati.

Cc Ntuzu umepata pacha wako huku.
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni simulizi za marehemu babu yangu (Mkiwa), ambae alishirikiana sana na mangi (Yohana) baba yake kama sio babu yake Justin Salakana, zamani hizo robo tatu ya Rombo yaani kutoka mto Ugwasi hadi Tarakea lilikuwa eneo la Kenya.

Babu yangu na mangi Yohana walipewa kazi ya kwenda kutoa taarifa kwa mangi Mareale kule Mwika ikitokea wenyeji wa Kenya wameingia na kuanzisha makazi eneo hilo baada ya kuchukuliwa na Tanzania.

Kwa uaminifu wao, walilinda ile mipaka kwa maana kwamba, wakenya walikuwa wakiingia maeneo hayo ya Rombo na kuwafukuza watanzania, kuwachomea nyumba zao na hata kuwaua maana walikuwa na silaha kali za jadi, hivyo ilikuwa ikiwalazimu watz hao kukimbilia misituni.

Babu yangu na mangi Yohana wakiona hayo walikuwa wanafunga safari kwa miguu kutoka huko Useri na Tarakea hadi Mwika kwa Mangi Mareale kutoa taarifa maana wakati huo hakukuwa na simu wala magari, wakishafikisha ujumbe huo, Mareale anatoa taarifa serikalini pale Moshi, jeshi linaenda kuwafukuza hao Wakenya wanarudi kwao.

Huo utaratibu uliendelea hadi uvamizi huo ukaisha na Rombo kubaki Tz na wakati huo watu wakawa wanaongezeka hadi kukajaa watu na kuwa eneo halali la upande wa Tz hadi leo.

Suala la changamoto ni kuwa; tangu wakati huo hadi leo wale watu wanaoishi eneo hilo maana lengo lilikuwa mlima Kilimanjaro ulio mrefu kuliko milima yote barani Afrika uwepo Tanzania lakini wale wanaoishi chini ya ule mlima hawanufaiki kikamilifu na mlima huo tangu enzi hizo za mababu, baba, watoto, wajukuu hadi sasa kuna vitukuu!

Pesa inavunwa pale inapelekwa DSM, ile kidogo sana inayobakizwa tangu enzi hizo haionekani hadi leo hii ule mlima haujanufaisha wakazi wa kule kimaisha.

Eneo kubwa la Rombo hasa lile linalopakana na Kenya, wakazi wa kule ni watanzania ila ni kama wanaishi Kenya! Kwanini? Radio, tv zinazoshika kule ni za Kenya, hata mitandao ya simu access kubwa ni ya Kenya kwani ukifika kule unatumia mfano mtandao wa vodacom, display inakuwa safaricom n.k.

Kwahiyo wanazielewa habari za Kenya kuliko Tanzania. Mambo yanayoendelea Tanzania hadi wayasikie idhaa ya kiswahili ya Kenya (KBC).

Kwa mustakabadhi huo siku siyo nyingi atajitokeza mangi mwingine ashinikize watu wa kule kupiga kura ya kutambua Rombo ni eneo la kenya kama ilivyofanyika Crinnes huko Urusi na Ukraine maana ukiangalia mpakani mwa kenya na rombo ni vitu viwili tofauti kabisa wakati kipindi hicho cha mababu kulikuwa sawa.

Ukiangalia Custum ya Tarakea upande wa tz na upande wa kenya, nenda mji wa Taveta, hadi kuna uwanja wa ndege! Lakini rombo iliyopo tz imesahaulika sana kimiundombinu, huduma za jamii katika mawasiliano ya vyombo vya habari n.k

WITO WANGU SERIKALI IONE HILO MAPEMA.
hata hilo soko la kisasa linaloimbwa kila siku litajengwa Mwika, bado ni kitu kidogo sana japo ni soko la SIASA. Kwanini kusijengwe uwanja wa ndege ili watalii watue kule moja kwa moja? Hatuoni watatua Taveta na kuendelea kuikosesha Tanzania mapato? Serikali yangu, mangi anakaribia kurudi Rombo!

Hiyo kweli kabisa
 
Nipe majibu kwa haya yafuatayo. Sirari Tarime iende Kenya? Mtukula Bukoba iende Uganda? Mbamba Bay Songea iende Malawi? Kyela nayo iende Malawi? Tunduma Mbeya iwe sehemu ya Zambia? Nayo Mtwara iwe Msumbiji. Waulize Wabunge wako waliopita akina Alphonsi Maskini, Justine Salakana, Bazil Mramba na wa sasa Selasini wamelitumikia jimbo lao kwa uadilifu gani? Hoja yako haina mashiko.
Ni mpotoshaji mtoa mada. Huko Rombo (nimezaliwa na kukulia huko) hakujasahaulika. Kama ametembea na kuona kwingine atakuwa mbinafsi wa hali ya juu. Kinachosumbua Rombo sasa ni Ulevi wa vijana tu na matatizo ya kawaida ambayo sio kama unavoweka. Aache upotoshaji na uchozezi
 
Back
Top Bottom