Bora umesema wewe nilidhani huyu ni Mkenya au Mrombo aliyekulia Mombasa maana hata wazee wa Rombo wengi mlima umewaneemesha sana kibiashara watalii wanao panda wana fanyabiasha kubwa sana Rombo ambayo haipo kwenye maeneo mengine.
msavi ni msavi tiki! Nyeloa hata msanya! Unawasemea wazee wa rombo huku kwakuwa hawakujui? Nenda kawakusanye siku moja huko wanakokunywa dadii uvavie modwe uu!
Aha ha ha samahani Mkuu kumbe hutaki tuchangie hoja inayopingana nawe!? Kwa heri
Unawezaje kutumia Masaa 4 kwenda umbali wa km 140 kwenye Barabara nzuri? Hayo ni makadirio ya wapi? Kama Dar - Morogoro ni Kilometa ~190 na hakuna mtu anayetumia masaa 4 iweje hapo km 140 utumie masaa 4? Kuna kitu hakipo sawa!

ubongo wako umeoza
anamtindio wa ubongo.pia unaruhusiwa kuhama wewe na ndugu zako wote mwende kenya we mwenye akili chafu
unaujua mji unaoitwa rombo wewe uliopo kenya? Nenda pale linganisha na upande wa tz. Watz wengi wa mipakani huolewa kenya ilihali wakenya wanaoolewa tz ni kama hamna coz wanaolewa siku chache wanakimbia shida. Chezea KIBUNG'AA!
Kwa mustakabadhi huo siku siyo nyingi atajitokeza mangi mwingine ashinikize watu wa kule kupiga kura ya kutambua Rombo ni eneo la kenya kama ilivyofanyika Crinnes huko Urusi na Ukraine maana ukiangalia mpakani mwa kenya na rombo ni vitu viwili tofauti kabisa wakati kipindi hicho cha mababu kulikuwa sawa.
Ukiangalia Custum ya Tarakea upande wa tz na upande wa kenya, nenda mji wa Taveta, hadi kuna uwanja wa ndege! Lakini rombo iliyopo tz imesahaulika sana kimiundombinu, huduma za jamii katika mawasiliano ya vyombo vya habari n.k
WITO WANGU SERIKALI IONE HILO MAPEMA.
hata hilo soko la kisasa linaloimbwa kila siku litajengwa Mwika, bado ni kitu kidogo sana japo ni soko la SIASA. Kwanini kusijengwe uwanja wa ndege ili watalii watue kule moja kwa moja? Hatuoni watatua Taveta na kuendelea kuikosesha Tanzania mapato? Serikali yangu, mangi anakaribia kurudi Rombo!
uwanja wa ndege huo wa Taveta ndo upi mi Taveta ninayojua imechoka haina barabara ya lami sasa sijui unaongelea Taveta acha unafki Mrombo wewe! Rombo ipo kwenye hali nzuri kuliko Taveta! evidence nakupaHizi ni simulizi za marehemu babu yangu (Mkiwa), ambae alishirikiana sana na mangi (Yohana) baba yake kama sio babu yake Justin Salakana, zamani hizo robo tatu ya Rombo yaani kutoka mto Ugwasi hadi Tarakea lilikuwa eneo la Kenya.
Babu yangu na mangi Yohana walipewa kazi ya kwenda kutoa taarifa kwa mangi Mareale kule Mwika ikitokea wenyeji wa Kenya wameingia na kuanzisha makazi eneo hilo baada ya kuchukuliwa na Tanzania.
Kwa uaminifu wao, walilinda ile mipaka kwa maana kwamba, wakenya walikuwa wakiingia maeneo hayo ya Rombo na kuwafukuza watanzania, kuwachomea nyumba zao na hata kuwaua maana walikuwa na silaha kali za jadi, hivyo ilikuwa ikiwalazimu watz hao kukimbilia misituni.
Babu yangu na mangi Yohana wakiona hayo walikuwa wanafunga safari kwa miguu kutoka huko Useri na Tarakea hadi Mwika kwa Mangi Mareale kutoa taarifa maana wakati huo hakukuwa na simu wala magari, wakishafikisha ujumbe huo, Mareale anatoa taarifa serikalini pale Moshi, jeshi linaenda kuwafukuza hao Wakenya wanarudi kwao.
Huo utaratibu uliendelea hadi uvamizi huo ukaisha na Rombo kubaki Tz na wakati huo watu wakawa wanaongezeka hadi kukajaa watu na kuwa eneo halali la upande wa Tz hadi leo.
Suala la changamoto ni kuwa; tangu wakati huo hadi leo wale watu wanaoishi eneo hilo maana lengo lilikuwa mlima Kilimanjaro ulio mrefu kuliko milima yote barani Afrika uwepo Tanzania lakini wale wanaoishi chini ya ule mlima hawanufaiki kikamilifu na mlima huo tangu enzi hizo za mababu, baba, watoto, wajukuu hadi sasa kuna vitukuu!
Pesa inavunwa pale inapelekwa DSM, ile kidogo sana inayobakizwa tangu enzi hizo haionekani hadi leo hii ule mlima haujanufaisha wakazi wa kule kimaisha.
Eneo kubwa la Rombo hasa lile linalopakana na Kenya, wakazi wa kule ni watanzania ila ni kama wanaishi Kenya! Kwanini? Radio, tv zinazoshika kule ni za Kenya, hata mitandao ya simu access kubwa ni ya Kenya kwani ukifika kule unatumia mfano mtandao wa vodacom, display inakuwa safaricom n.k.
Kwahiyo wanazielewa habari za Kenya kuliko Tanzania. Mambo yanayoendelea Tanzania hadi wayasikie idhaa ya kiswahili ya Kenya (KBC).

uwanja wa ndege huo wa Taveta ndo upi mi Taveta ninayojua imechoka haina barabara ya lami sasa sijui unaongelea Taveta acha unafki Mrombo wewe! Rombo ipo kwenye hali nzuri kuliko Taveta! evidence nakupa
Leta yako ya uwanja wa ndege!
uongo kabisa. shule watz pale mpakani ni kenya-eti wakenya wajihisi watz. hadithi za babu hizo.......Wewe Ni Muongo! Mimi ingawaje sijazaliwa huko lkn nimekulia huko, nimesoma Shule ya Msingi huko hivyo nalifahamu hilo eneo vizuri sana,kwanza hayo unayoyasema ni ndio yanafanyika kwa Upande wa Kenya, Ukienda Loitoktok (Kenya) wakazi wao wote wanakuja shopping kwetu Tarakea, kwanza wengi wao hata wanajisikia Watz kuliko Wakenya kwa kuwa Serikali yao haiwajali kabisa, ukienda Taveta nako hivyo hivyo ukifika huko Wataita wengi wanajifanya Watz na wanaona ufahari kuwa Watz kwa kuwa Serikali yao (Kenya) haina Mpango nao, hilo swala la kuangalia TV au sijui kusikiliza Redio sio Ishu kwa maana wako Mpakani na Nairobi ni karibu zaidi kwao kuliko ilivyo Dar!
Hivyo usidanganye watu hapa, Rombo naijua Vizuri sana tu!
leta evidence! na kati ya Mkuu na Tarakea ziko mbioni kuwa mji! Warombo msitake mpaka mjengewe mmepewa barabara halafu mmepimiwa viwanja mnataka serikali ije kuwajengea pia? wanaojenga lodges binafsi mbona hawalalamiki? wameona fursa na wewe ona pia!inawezekana ukilinganisha kwa coverage ila kimji taveta town iko juu,tukirudi kwenye topic rombo ipo ya Tanzania na Kenya pia ukivuka border upande wa tarakea unaingia elasit then rombo ya Kenya kama ilivo kwa ziwa chala lililopo Tanzania na Kenya hivo ni mpangilio wa mipaka tu na ufafanuzi ndio umefanya uone na kufikiri kama mzee wako,kila nchi ina chake per mpaka