Kwanini Rostam ameuza hisa zake za Vodacom?

hakuna mfanyabiashara mwenye akili ambaye atabaki anatumbua macho tuu kwenye hii nchi, kama namuona uhuru kenyata anavyofurahia kwa sasa maana atakua anapokea wafanyabiashara wengi sana.
 
Swali la msingi ni kwanini anauza na wakati huo huo anatuambia Magu anajenga uchumi mzuri sasa kwanini asiziache apate faida kufanya biashara TZ
Unatakiwa kujifunza kusoma , kusikia na kutafakari maana nyuma ya sauti zote hizo.. Ni kwamba uwanja unasawazishwa ... Lakini fursa au mazingira ya kuwekeza biashara ni tofauti ni hatarishi sana ... Kama ameamua kuuza share zake, inamaanisha anakuambia , hana hakika kwa hela yake kuwa katika soko hili, itampa faida , hivyo anasepa... Kwa ufupi mazingira ya kibiashara na kisiasa, hayamfanyi akafanya biashara zake huru... Yale mengine ilikuwa funika kombe...
 
Vipi Tundu Lissu mbona wabunge wenzake wamemtelekeza ?

Tena mpaka ma-homeboy wake kina Kingu na Mwigulu !!
 
Hataki kuishi kama shetani kwa mali yake aliyochuma kwa jasho wakati kuna mahali anaweka wekeza akaishi kama malaika, kaangalia future yake na familia yake yasije mkuta ya mateso kwa mali yake mwenyewe.
 
 
Duh
 
Vipi Tundu Lissu mbona wabunge wenzake wamemtelekeza ?

Tena mpaka ma-homeboy wake kina Kingu na Mwigulu !!
Ndio Siasa Na Wanasiasa wa Tanzania

Hata Zitto Kabwe alipofiwa Na Mama yake Mzazi ambae Pia alikuwa Kiongozi wa Chadema Viongozi wa Chadema hawakushuriki Msiba wa Mama wa Mbunge mwenzao, Mwanasiasa mwenzao Na Mama huyo Pia alikuwa Mbunge wa Chadema Na Kiongozi.

Ukitaka kumuua mbwa Mpe jina Baya Wahenga walinena
Shetani akitaka kuongeza Maarifa ya Unafiki Basi atayapata Kwa Wanasiasa wa Bongo
 
26% amewazuia Vodacom south Afrika,why now?
Yaani muda mwingine utasema tu kuwa watanzania bado tunayo safari ndefu. Hivi kijana kama huyu unategemea aje adai uhuru wake. Anaandika kabisa kwanini kauza. Kuna mtu hapa atakuuliza kwanini umeuza baskeli yako. Hivi unawaza sawa sawa. Au ndio umeamka kutoka usingizini
 

Unajiona unajua Kumbe hujui

Kwenye Ulimwengu wa uwekezaji akitokea Mfanyabiashara Mkubwa wa level ya Rostam akiuza hisa zake huo ni Mjadala Mkubwa Sana Kwa Kuwa unaleta Impact kubwa kwenye FDI ( Foreign direct investment)

Hata Wafanyabishara wakubwa kabla ya kuwekeza wanaenda kwenye Stock market kuona trend ya kuuza Na kununua hisa Sasa Wewe Kwa kutojua unadhan Ni ajabu Mtu kuleta mjadala wa kujadili issue ya Rostm kuuza hisa zake

Sio Kila usichojua Basi hakijulikani

Wakati Mwingine chukua peni Na pensel ujifunze Kwa vitu usivyo Na utaalam navyo Na si dhambi kutojua Ila Ni dhambi kujifany unajua wakati hujui
 
THE KING MAKER,ALIYEPEWA KAPEWA TU. NA MCHUNGA NG'OMBE ATASALIA MCHUNGA NG'OMBE TU.
 
Mjadala mkubwa wa nn wakati bosi wako hataki wafanyabiashara. Ukiwa na biashara Tanzania magufuli ameshasema lazima wataishi kama mashetani. Wafanyabishara wanatekwa halafu unasema watu wajadili. Mnapoambiwa Magufuli wenu anaaribu nchi nyie ndio mko mbele katika kumtetea
 

Kama hutaki mjadala kuhusu kuuza hisa Kwa Rostam huu uzi usingeufungua unge endelea na Mengine
 
Well said Mkuu. Mtu Makini
 
hapa kuna kitu kinatafutwa
Ukiona maswali ya why now......
 
Hizi comments zinaweza kufunga mjadala!
Wakati Biblia imemuandikia Mwanaume kwa Mwanamke "muishi nao kwa akili"

Basi Duniani ina maana muishi na Waswahili kwa akili.
 
Inatufundisha kuwa tumekaribia uchumi wa kati wa viwanda
kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.

Hii inatufundisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…