Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatakiwa kujifunza kusoma , kusikia na kutafakari maana nyuma ya sauti zote hizo.. Ni kwamba uwanja unasawazishwa ... Lakini fursa au mazingira ya kuwekeza biashara ni tofauti ni hatarishi sana ... Kama ameamua kuuza share zake, inamaanisha anakuambia , hana hakika kwa hela yake kuwa katika soko hili, itampa faida , hivyo anasepa... Kwa ufupi mazingira ya kibiashara na kisiasa, hayamfanyi akafanya biashara zake huru... Yale mengine ilikuwa funika kombe...Swali la msingi ni kwanini anauza na wakati huo huo anatuambia Magu anajenga uchumi mzuri sasa kwanini asiziache apate faida kufanya biashara TZ
Vipi Tundu Lissu mbona wabunge wenzake wamemtelekeza ?2011 Akili kubwaaaz Rostam Abdul rasoul Aziz alipojiuzulu Ubunge wa Igunga alitoa hotuba Fupi Sana akielezea mwelekezi wa Siasa zetu kwenda Mrama lakin ma vuvuzela kina Said Kubenea Na kipeperushi chake Cha Mwanahalisi walikuwa busy kumchafua Kwa Kashfa Za kutunga
Nakumbuka ilifikia hatua alipofiwa Na Baba yake Mzazi Rostam ilitakiwa uwe Na roho ya kijasiri kwenda msiban pale kwake Kwa kuwa ilionekana Kama Ni kusaliti Taifa
Wakati Mzee wake akiwa Hospital Kule France ilikuwa watu wanaaga kwenda Marekan Kumbe uongo wanaenda France lakin Kwa usiri Mkubwa Hata Ubalozin kwetu hawafiki ili wasijulikane wakati Ni watu wakubwa Sana ,
ukitaka kumuua mbwa mpe jina Baya wahenga walinena
Kuna Rafiki zake wakubwa Sana ilibidi waende usiku usiku kuhani msiba wakati alikuwa Mtu wao wa Karibu Sana Kwa zaid ya Miaka 15
Vipi Tundu Lissu mbona wabunge wenzake wamemtelekeza ?
Una uhakika katelekezwa? Unajuaje kama hawawasiliani na wanamtumia fund kupitia watu wengine? Unafikiri hakuna anaejua kama ikijulikana watapata taabu sana kwa kuwa dikteta hataki? Wanajua kuna maisha baada ya JIWE usiweke uhakika kama katelekezwa.
DuhAmecheza game ya Kibaishara
Kauza hisa Za Kampuni yake Kwa Kampuni ile ya ki South Africa Halafu kaenda kununua hisa Za ile Kampuni ya South Africa
Katika Lugha rahisi kafanya kuhamisha Mtaji wake kutoka Hapa Nchini mpaka South Africa lakin faida ya Uwekezaji wake ataipata kupitia South Africa
Ndio Siasa Na Wanasiasa wa TanzaniaVipi Tundu Lissu mbona wabunge wenzake wamemtelekeza ?
Tena mpaka ma-homeboy wake kina Kingu na Mwigulu !!
Yaani muda mwingine utasema tu kuwa watanzania bado tunayo safari ndefu. Hivi kijana kama huyu unategemea aje adai uhuru wake. Anaandika kabisa kwanini kauza. Kuna mtu hapa atakuuliza kwanini umeuza baskeli yako. Hivi unawaza sawa sawa. Au ndio umeamka kutoka usingizini26% amewazuia Vodacom south Afrika,why now?
Yaani muda mwingine utasema tu kuwa watanzania bado tunayo safari ndefu. Hivi kijana kama huyu unategemea aje adai uhuru wake. Anaandika kabisa kwanini kauza. Kuna mtu hapa atakuuliza kwanini umeuza baskeli yako. Hivi unawaza sawa sawa. Au ndio umeamka kutoka usingizini
THE KING MAKER,ALIYEPEWA KAPEWA TU. NA MCHUNGA NG'OMBE ATASALIA MCHUNGA NG'OMBE TU.2011 Akili kubwaaaz Rostam Abdul rasoul Aziz alipojiuzulu Ubunge wa Igunga alitoa hotuba Fupi Sana akielezea mwelekezi wa Siasa zetu kwenda Mrama lakin ma vuvuzela kina Said Kubenea Na kipeperushi chake Cha Mwanahalisi walikuwa busy kumchafua Kwa Kashfa Za kutunga
Nakumbuka ilifikia hatua alipofiwa Na Baba yake Mzazi Rostam ilitakiwa uwe Na roho ya kijasiri kwenda msiban pale kwake Kwa kuwa ilionekana Kama Ni kusaliti Taifa
Wakati Mzee wake akiwa Hospital Kule France ilikuwa watu wanaaga kwenda Marekan Kumbe uongo wanaenda France lakin Kwa usiri Mkubwa Hata Ubalozin kwetu hawafiki ili wasijulikane wakati Ni watu wakubwa Sana ,
ukitaka kumuua mbwa mpe jina Baya wahenga walinena
Kuna Rafiki zake wakubwa Sana ilibidi waende usiku usiku kuhani msiba wakati alikuwa Mtu wao wa Karibu Sana Kwa zaid ya Miaka 15
Mjadala mkubwa wa nn wakati bosi wako hataki wafanyabiashara. Ukiwa na biashara Tanzania magufuli ameshasema lazima wataishi kama mashetani. Wafanyabishara wanatekwa halafu unasema watu wajadili. Mnapoambiwa Magufuli wenu anaaribu nchi nyie ndio mko mbele katika kumteteaUnajiona unajua Kumbe hujui
Kwenye Ulimwengu wa uwekezaji akitokea Mfanyabiashara Mkubwa wa level ya Rostam akiuza hisa zake huo ni Mjadala Mkubwa Sana Kwa Kuwa unaleta Impact kubwa kwenye FDI ( Foreign direct investment)
Hata Wafanyabishara wakubwa kabla ya kuwekeza wanaenda kwenye Stock market kuona trend ya kuuza Na kununua hisa Sasa Wewe Kwa kutojua unadhan Ni ajabu Mtu kuleta mjadala wa kujadili issue ya Rostm kuuza hisa zake
Sio Kila usichojua Basi hakijulikani
Wakati Mwingine chukua peni Na pensel ujifunze Kwa vitu usivyo Na utaalam navyo Na si dhambi kutojua Ila Ni dhambi kujifany unajua wakati hujui
mheshimu mpumbavu uepukane na balaa,tunafunzwa hivyo.Swali la msingi ni kwanini anauza na wakati huo huo anatuambia Magu anajenga uchumi mzuri sasa kwanini asiziache apate faida kufanya biashara TZ
Mjadala mkubwa wa nn wakati bosi wako hataki wafanyabiashara. Ukiwa na biashara Tanzania magufuli ameshasema lazima wataishi kama mashetani. Wafanyabishara wanatekwa halafu unasema watu wajadili. Mnapoambiwa Magufuli wenu anaaribu nchi nyie ndio mko mbele katika kumtetea
Well said Mkuu. Mtu MakiniUnajiona unajua Kumbe hujui
Kwenye Ulimwengu wa uwekezaji akitokea Mfanyabiashara Mkubwa wa level ya Rostam akiuza hisa zake huo ni Mjadala Mkubwa Sana Kwa Kuwa unaleta Impact kubwa kwenye FDI ( Foreign direct investment)
Hata Wafanyabishara wakubwa kabla ya kuwekeza wanaenda kwenye Stock market kuona trend ya kuuza Na kununua hisa Sasa Wewe Kwa kutojua unadhan Ni ajabu Mtu kuleta mjadala wa kujadili issue ya Rostm kuuza hisa zake
Sio Kila usichojua Basi hakijulikani
Wakati Mwingine chukua peni Na pensel ujifunze Kwa vitu usivyo Na utaalam navyo Na si dhambi kutojua Ila Ni dhambi kujifany unajua wakati hujui
Kwanini wazazi wako walikupeleka sekondari ya KATA? HAVE YOU EVER ASKED THAT QUESTION ?26% amewazuia Vodacom south Afrika,why now?
Inatufundisha tuwekeze kwenye Rasilimali akili sio rasilimali Majungu
Yaani kaituma Kampuni ya kikaburu kuja kumuwakilisha kwenye Uwekezaji wake Hapa Nchini Kwa Kuwa akiwekeza direct Kelele zinakuwa nyingi
Dowans alifanya hivyo akaita Symbion Kelele zikaisha Na Sasa Kelele Z umiliki wake Vodacom zitaisha soon
Wakati Biblia imemuandikia Mwanaume kwa Mwanamke "muishi nao kwa akili"
Basi Duniani ina maana muishi na Waswahili kwa akili.
kwahiyo kahama kutoka umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kitanzania akaenda kwenye umiliki wa hisa kwenye kampuni ya kikaburu.
Hii inatufundisha nini?